Nimelizwa, nimeumizwa na kufadhaishwa mno na kifo cha kijana huyu

Sijui ni kitu gani kinachofanya hao UN wasimshuhhulikie Kagame, kama ushahidi wanao sasa shida iko wapi?

Inasikitisha sana kuona wacongo sio watu wa kukaa kwa amani ndani ya nchi yao kwasababu ya majirani wabinafsi wanaowaza kuiba mali za Congo, bora waibe bila kuua raia wasio na hatia.
 
Mkuu denooJ kwa Congo ni vigumu sana umoja wa mataifa kuleta amani ya kudumu au kuyamaliza kabisa makundi ya waasi kama tunavyofikiria. Na sababu kuu ni hizo nimeziandika chini 👇 Na pia hapo chini 👇
 
Tuvumilie yote ndugu zangu watanzania,vita si nzuri kabisa
Vita haifai mkuu, tumeona nchi kama Libya, Syria, Iraq na kwengineko ambapo hapo mwanzo nchi hizo zilikuwa na amani na usalama mzuri, lkn leo wengi wameuwawa, wameteswa, wametekwa, wamebakwa, wamevunjiwa nyumban zao na kulazimishwa kukimbilia katika nchi za wenzao.
 
More than danger
 

Polee sana mkuu! R.I.P dogo james
 
Inapaswa tutoe sadaka ya shukrani kwa kuzaliwa Tanzania na tuilinde amani yetu
Kweli kabisa mkuu, kuwa mtanzania na kuzaliwa Tanzania ni tunu kubwa tuliojaaliwa na Mungu. Kuna watu wanatamani wangekuwa watanzania leo hii, lkn ndo hivyo imekuwa haiwezekani labda wale majiran zetu wanaoingia nchini kwa njia za panya na kujichanganya na wazawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…