Nimemaliza chuo nimeingia kwenye bodaboda, nimekutana na yule aliishia form four huku huku

Dah hongera kwa kuwa mtumishi wa serikali nyie ndo wale mnaokula keki ya serikali kila mwisho wa mwezi
 
Kwaiyo Mimi na yule jamaa alieishia form four ni sawa ndio maana wote tumekuwa mabodaboda

Depression
Inaonekana ulisoma Kwa ku beep, ww na yeye mpo tofauti tena sana. Unaweza tumia elimu yako kutoboa au ukaamua kuachana na elimu ukahaso kimtaa mtaa na ukatoboa pia ila yeye option alonayo ni moja tu. Sasa huoni kama mpo tofauti?
 
Kwaiyo Mimi na yule jamaa alieishia form four ni sawa ndio maana wote tumekuwa mabodaboda

Depression
Wawili Hawa wameliza chuo Pamoja na wanajua kirefu,mmoja anauza chips mwingine anauza mkaa.
Muuza chips alipomwona muuza mkaa anakuja kumsabahi akamkimbia muuza mkaa,,,lengo la muuza mkaa lilikuwa amwombe muuza chips amtafutie wateja WA mkaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…