A
Anonymous
Guest
Habari, Mimi ni Muhitimu WA chuo Taasisi ya watu wazima IAE kampasi ya mwanza nimemaliza Mwaka Jana 2024 lakini toka tumalize Hadi Leo hatujapa AVN na tukihoji wanatoa majibu ambayo hayaeleweka.
Mara Subirini tunashughulikia hakuna majibu yoyote na Watu tunahitaji kwenda kuendelea na elimu ya juu degree. Hatuna AVN, tunashindwa kuendele.
Naomba tusaidie maana hili tatizo ni la wahitimu wote tuliomaliza campus ya Mwanza hakuna hata Moja aliyepata