Habari zenu wakuu
Nimemaliza kidato cha 6 PCB mwaka 2024 Na kubahatika kupata 1.9
Katika process ya kuomba vyuo, nikaja kupata round ya 3 ambayo ndo ya mwisho kabisa chuo cha kampala, kozi MD.
Sasa ndugu zangu, mm kwetu hoehae,uchumi ni mdogo sana kuweza kumudu hizo garama za ada ambayo ni 7.7M. Lakini kwavile sikuwa na jinsi kipindi hicho baada ya kukosa vyuo round zote ikanibidi tu niende.
Tumejitaidi semester ya 1 ikaisha salama, sasa hii semester ya mwisho tumeshidwa ada ikapelelea nikashindwa ata kufanya CAT 02. Aya apo kuna missed cat inabidi zilipiwe 1exam =40k, 4exams=160k hapo bado sijajumuishwa na deni la UE, 3M inafika.
Kuhama nako ni hadi uwe na transcript, huwezi kuhama bila kulipa ada.
Sasa nikawaza niombe upya mwaka huu, lakini naona ufaulu wa mwaka huu ni mkubwa sana ushindani utakuwa mkubwa naogopa nitakosa chuo.
Naombeni msaada nifanye nn maana hata sielewi cha kufanya.