Nimemaliza kidato cha 6 PCB mwaka 2024 na kubahatika kupata 1.9, naombeni ushauri

Now interview hakuna umesoma wapi wala nini na kwasasa kua MD sio story tena wazee watu wanakufa kwa stress kwa hii ishu na kupoteza muda.
Ni kweli ila kuna sehemu ukiwa na MD ya Kampala hata kwenye interview huitwi
 
Oyaa wazee ina mana MD haina ishu kiasi icho dogo langu limepiga 1.4 PCB anafurahi kinyama MD hii hapa leo mnasema haina ishu miaka 6 hebu kuwen serious kdg huyu dogo nimpeleke jeshini mapema
 
Tena fanya haraka sana ...
.

Vijana wengi tu wanazo izo degree za afya wanazurula, ata akiingia kazini hawezi kushindana na TPDF au watu wa Tanapa, tawa na TFS wanamzidi mara 10 ya kipato chake pia miaka na gharama za kusoma hiyo kozi ni mda mrefu

Maisha ni kuchagua kama ni anapenda na familia inajiweza akomae
 
Ki family yuko sw hata wazaz wanapenda iyo ila mm broh ake sikubaliani mm n watu ambao nataka dogo asome mapema aingie kwenye kutafuta hela mapema ss sio kusoma miaka 7 then uje ukae miaka kitatu usubirie ajira yaan ten years wakat angekuwa jeshin miaka yake kadhaa yuko sw kimaisha
 
Habari zenu wakuu

Nimemaliza kidato cha 6 PCB mwaka 2024 Na kubahatika kupata 1.9

Katika process ya kuomba vyuo, nikaja kupata round ya 3 ambayo ndo ya mwisho kabisa chuo cha kampala, kozi MD.

Sasa ndugu zangu, mm kwetu hoehae,uchumi ni mdogo sana kuweza kumudu hizo garama za ada ambayo ni 7.7M. Lakini kwavile sikuwa na jinsi kipindi hicho baada ya kukosa vyuo round zote ikanibidi tu niende.

Tumejitaidi semester ya 1 ikaisha salama, sasa hii semester ya mwisho tumeshidwa ada ikapelelea nikashindwa ata kufanya CAT 02. Aya apo kuna missed cat inabidi zilipiwe 1exam =40k, 4exams=160k hapo bado sijajumuishwa na deni la UE, 3M inafika.

Kuhama nako ni hadi uwe na transcript, huwezi kuhama bila kulipa ada.

Sasa nikawaza niombe upya mwaka huu, lakini naona ufaulu wa mwaka huu ni mkubwa sana ushindani utakuwa mkubwa naogopa nitakosa chuo.
Naombeni msaada nifanye nn maana hata sielewi cha kufanya.
Kuna Samia Scholarship, jaz form na uambatanishe barua ya maelezo na vielelezo, ilibidi kamuone Katibu Mkuu Wizara ya Elimu huko Dodoma
 
Ki family yuko sw hata wazaz wanapenda iyo ila mm broh ake sikubaliani mm n watu ambao nataka dogo asome mapema aingie kwenye kutafuta hela mapema ss sio kusoma miaka 7 then uje ukae miaka kitatu usubirie ajira yaan ten years wakat angekuwa jeshin miaka yake kadhaa yuko sw kimaisha
Yap upo sahihi kaa naye muelekezi au tumia ubabe maana madogo wa Saizi wabishi mno pia kama una gap la ajira mpachike mapema tatizo la ajira litakua janga baya kuzidi saizi miaka 5 mbele

Mwambie akiwa kazini akasome huo udaktari.
 
Nenda Ardhi University chukua Arcitecture( miaka mitano) ,utakuja kunishukur ukifika mwaka wa tatu tu
 
Yap upo sahihi kaa naye muelekezi au tumia ubabe maana madogo wa Saizi wabishi mno pia kama una gap la ajira mpachike mapema tatizo la ajira litakua janga baya kuzidi saizi miaka 5 mbele

Mwambie akiwa kazini akasome huo udaktari.
Yah kuhusu gap la kuingia jeshin kwang hamna shida hata mdingi kastaafu lakin simu moja tu ataingia ila sasa ka unavosema dogo kuelewa iyo ishu n madogo hawa mabishoo rafiki zake wapo chuo kujipost tik tok yaan sijui nitumie style gani anielewe shida pia bi maza anataka dogo aende u dr. Humwambii kitu yaan ila me sikubalian na mtu asome miaka 7 kiukweli huo n upotevu wa mda
 
Oyaa wazee ina mana MD haina ishu kiasi icho dogo langu limepiga 1.4 PCB anafurahi kinyama MD hii hapa leo mnasema haina ishu miaka 6 hebu kuwen serious kdg huyu dogo nimpeleke jeshini mapema
Mimi kwasasa kama mtu anataka mafanikio huko mbele na ana connection aachane na afya huku njaa jamani unapata hela ya kula ,tugali na tunyumba unaona umemaliza huku wale wa TRA ,Tanapa nk wakidondosha majumba biashara za kumwaga na maisha yasiyo na stress ... Angalia watumishi wa afya life lao na walimu halipishani sana akimiliki toyota alex akining'iniza koti kwenye siti pale anavimba ila miguko mitupu😁😁
 
Ki family yuko sw hata wazaz wanapenda iyo ila mm broh ake sikubaliani mm n watu ambao nataka dogo asome mapema aingie kwenye kutafuta hela mapema ss sio kusoma miaka 7 then uje ukae miaka kitatu usubirie ajira yaan ten years wakat angekuwa jeshin miaka yake kadhaa yuko sw kimaisha
Kma chance ya kuingia JWTZ ipo haraka mpelekeni huko kama kusoma akasome akiwa huko maisha yatamuendea poa otherwise atarudi hapa kutukana serikali😁
 
Aisee apo ulipiga mahesabu vby watoto wa maskini siku zote tunaangalia kozi simple kupata ajira rudi kusoma.....
Mimi apa nakushauri tofauti achana na huo udaktari omba ualimu wa math na physics baada ya apo pambana kufa kupona na ajila portal Ingia kazini

Sio kila mtu alipenda kusoma vitu vya ajabu ni maisha
Kama Ualimu wa Math na Physics ajira ni kugusa tu washikaji waliosoma hii ni mashahidi huachwi.

Chukua ushauri huu muda huu sio tena wa kuangalia moyo unataka nini bali unafuu wako wa kutoboa.
 
😁😄😀😁😄 mwache aje atukane serikali tumsweke ndani
Hii chance niliipoteza Mwaka 2018 now Mwanangu anakula maisha na nyota zake mimi natukana serikali 😁😁..

Wazee ukibahatika tumia nafasi ukijifanya unaleta ujuaji yatakukuta mazito mbele na ukakosa pa kushika
 
Aisee ungeenda jeshini kwa tanzania n maisha safi sana ingekuwa police ningekeambia usiende ila sio kwa jeshi tena una form six ndo kabisaa ila madogo wengi huwa wana wenge la chuo wanajua kuna kula bata plus mob ya wenzake anaona kuiokosa iyo fursa n uzembe hawafikirii ukishamaliza iyo miakachuo mtaani itakuwaje huku ne nilikacha kwenda chuo kisa jeshi ila mdingi aliniona nina akili hatarii mpk leo mzee wangu humwambii kitu kuhusu mm
 
Mkuu unajua ukiwa umekosa miongozo unakua kama kipofu ukija kushtuka imeisha hiyo.
 
Back
Top Bottom