Nimemaliza kidato cha 6 PCB mwaka 2024 na kubahatika kupata 1.9, naombeni ushauri

Nimemaliza kidato cha 6 PCB mwaka 2024 na kubahatika kupata 1.9, naombeni ushauri

Bodi nimepata 420k, Ada 7.7M. Hakuna kilichopungua
Pambana umalize hio semester then postpone then tafuta chuo . Kun.a st Francis ya ifakara 4M , Kuna KCMC 3M Kuna udom 1.8M Kuna Suza 3M . Mm nilipitia hio challenge 2019 now niko suza finalist class of 2024_2025
Ukihitaji muongozo na tips za kuhama utanitafuta. Kuhama hakuhitaji pesa yoyote. Sikutumia pesa kupata nafasi na sikua na connection yoyote
 
Oyaa wazee ina mana MD haina ishu kiasi icho dogo langu limepiga 1.4 PCB anafurahi kinyama MD hii hapa leo mnasema haina ishu miaka 6 hebu kuwen serious kdg huyu dogo nimpeleke jeshini mapema
Mm nasoma MD, haina inshu kaka. Unless una passion ya kusaidia watu. Unaweza ukipangiwa vijijini kituo cha kazi ulipwe laki 3 kwa mwez. Kama ana plan ya kupiga pesa simshauri asome MD wako weng sana. Apa kampala tupo 600 plus vyuo vingine, plus clinical officers ambao ndo wanaajiriwa sana sababu wanalipwa kidogo. Kwa kumshauri aende akasome physiotherapy muhas, Tanzania nzima wanatoa muhas na kcmc pekeee si juu ya wanafunzi 50.imagine ajira zake. Pia itamwezesha kuanzisha na side hustlers sababu physiotherapy sio full time kama MD. MD unakufa kwa stress bila pesa.
 
Duh
 
Habari zenu wakuu

Nimemaliza kidato cha 6 PCB mwaka 2024 Na kubahatika kupata 1.9

Katika process ya kuomba vyuo, nikaja kupata round ya 3 ambayo ndo ya mwisho kabisa chuo cha kampala, kozi MD.

Sasa ndugu zangu, mm kwetu hoehae,uchumi ni mdogo sana kuweza kumudu hizo garama za ada ambayo ni 7.7M. Lakini kwavile sikuwa na jinsi kipindi hicho baada ya kukosa vyuo round zote ikanibidi tu niende.

Tumejitaidi semester ya 1 ikaisha salama, sasa hii semester ya mwisho tumeshidwa ada ikapelelea nikashindwa ata kufanya CAT 02. Aya apo kuna missed cat inabidi zilipiwe 1exam =40k, 4exams=160k hapo bado sijajumuishwa na deni la UE, 3M inafika.

Kuhama nako ni hadi uwe na transcript, huwezi kuhama bila kulipa ada.

Sasa nikawaza niombe upya mwaka huu, lakini naona ufaulu wa mwaka huu ni mkubwa sana ushindani utakuwa mkubwa naogopa nitakosa chuo.
Naombeni msaada nifanye nn maana hata sielewi cha kufanya.
Omba mwaka huu lakini usiombe MD, kuna kozi nyingi za Engineering and Business related ambazo watu wengi wanazichukulia poa ila zina fursa nzuri sana na ziko marketable. Mimi nilikua kama wewe ila kutokana na hali ya uchumi home nikasoma Business related course nakuhakikishia ni moja ya mawazo bora niliyoyafanya.
 
Aisee apo ulipiga mahesabu vby watoto wa maskini siku zote tunaangalia kozi simple kupata ajira rudi kusoma.....
Mimi apa nakushauri tofauti achana na huo udaktari omba ualimu wa math na physics baada ya apo pambana kufa kupona na ajila portal Ingia kazini

Sio kila mtu alipenda kusoma vitu vya ajabu ni maisha
Mimi ndio nilichokifanya, licha ya kupata div 2 point 10 pcb, nilivyomaliza education mwezi wa 7, mwaka uliofata nikaingia kwenye system, mapambano yanaanzia hapa.
 
Oyaa wazee ina mana MD haina ishu kiasi icho dogo langu limepiga 1.4 PCB anafurahi kinyama MD hii hapa leo mnasema haina ishu miaka 6 hebu kuwen serious kdg huyu dogo nimpeleke jeshini mapema
Mafanikio ya MD kuyapata ni muda kidogo mkuu, Baada ya miaka 6 hadi 7 asipokaa makini ya kupambana sana mbaya zaidi akiwa na Loan Board take home haizidi 800K inatesa sana na kufikirisha mkuu
 
Unapiga MD halafu unaajiriwa LGAs halafu hospitali ya Wilaya.
MD ukishakuwa tu Tamisemi binafsi naona ni mateso sana!! Tena wakupange Halmashauri Maskini unajaza On calls au extra mwezi wa 1 inakuja kulipwa mwezi wa 8 tena wanalipa 80l tu
 
Mafanikio ya MD kuyapata ni muda kidogo mkuu, Baada ya miaka 6 hadi 7 asipokaa makini ya kupambana sana mbaya zaidi akiwa na Loan Board take home haizidi 800K inatesa sana na kufikirisha mkuu
Dah n kweli mana miaka 7 kwa loan board hadi umalize unakuwa umechoka sn ila kweli n hali mbaya sn
 
Aisee ungeenda jeshini kwa tanzania n maisha safi sana ingekuwa police ningekeambia usiende ila sio kwa jeshi tena una form six ndo kabisaa ila madogo wengi huwa wana wenge la chuo wanajua kuna kula bata plus mob ya wenzake anaona kuiokosa iyo fursa n uzembe hawafikirii ukishamaliza iyo miakachuo mtaani itakuwaje huku ne nilikacha kwenda chuo kisa jeshi ila mdingi aliniona nina akili hatarii mpk leo mzee wangu humwambii kitu kuhusu mm

Hata polisi ukiwa na nyota fursa za kula zipo sana
 
MD ukishakuwa tu Tamisemi binafsi naona ni mateso sana!! Tena wakupange Halmashauri Maskini unajaza On calls au extra mwezi wa 1 inakuja kulipwa mwezi wa 8 tena wanalipa 80l tu
Ni miyeyusho. MOI ndiye anajilipa bila tabu, labda ukabidhiwe kituo cha afya uishi nacho
 
Back
Top Bottom