Bora uanze upya. Na sio lazima MD. Vipi bodi?Habari zenu wakuu
Nimemaliza kidato cha 6 PCB mwaka 2024 Na kubahatika kupata 1.9
Katika process ya kuomba vyuo, nikaja kupata round ya 3 ambayo ndo ya mwisho kabisa chuo cha kampala, kozi MD.
Sasa ndugu zangu, mm kwetu hoehae,uchumi ni mdogo sana kuweza kumudu hizo garama za ada ambayo ni 7.7M. Lakini kwavile sikuwa na jinsi kipindi hicho baada ya kukosa vyuo round zote ikanibidi tu niende. Tumejitaidi semester ya 1 ikaisha salama, sasa hii semester ya mwisho tumeshidwa ada ikapelelea nikashindwa ata kufanya CAT 02. Aya apo kuna missed cat inabidi zilipiwe 1exam =40k, 4exams=160k hapo bado sijajumuishwa na deni la UE, 3M inafika.
Kuhama nako ni hadi uwe na transcript, huwezi kuhama bila kulipa ada.
Sasa nikawaza niombe upya mwaka huu, lakini naona ufaulu wa mwaka huu ni mkubwa sana ushindani utakuwa mkubwa naogopa nitakosa chuo.
Naombeni msaada nifanye nn maana hata sielewi cha kufanya.
Tatizo madogo mwaka huu wamefaulu sana. Nahisi ushindani utakuwa mkubwa kupata nafasiBora uanze upya. Na sio lazima MD. Vipi bodi?
Tafadhali Zingatia ushauri huu Kwa umakini mkubwa sana!Mkuu achana na udakitari kampala kama uwezo wenu wa kifedha ni mdogo
Apply MUHAS physiotherapy au Radiology and Imaging Technology therapy
Omba mkopo wako then piga shule hizi kozi ni nzuri utakuja kunishukuru badae
NB
I am a medical personnel and health entrepreneur so I’m talking from experience
Hizo zote zinachukua wanafunzi wachache kwa ufaulu wa mwaka huu wa single digit kibao one ya 3 hadi ya 5 ni ngumu yeye kupataMkuu achana na udakitari kampala kama uwezo wenu wa kifedha ni mdogo
Apply MUHAS physiotherapy au Radiology and Imaging Technology therapy
Omba mkopo wako then piga shule hizi kozi ni nzuri utakuja kunishukuru badae
NB
I am a medical personnel and health entrepreneur so I’m talking from experience
Ni kweli kabisa.Hizo zote zinachukua wanafunzi wachache kwa ufaulu wa mwaka huu wa single digit kibao one ya 3 hadi ya 5 ni ngumu yeye kupata
Kama una uwezo wa kujieleza na kujenga hoja vizuri ingia kupitia Medical Laboratory ScienceYan asikwambie mtu, physiotherapy ndo ndoto yangu kubwa, lakini sasa nawaza kama ntapata nafasi. Pia naamini ajira zake hazitakuwa ngum sababu mwaka huu inatolewa muhas pekee. Naomba msaada namna gani watanipokea maana daah
Mkopeshe wewe basi hiyo pesaUshauri wangu, ukiweza fanya yote.
Lipa hiyo pesa kwa chuo (hata kwa kukopa kwa ndugu), kisha piga hizo paper zao ufaulu halafu uhame chuo. Medicine ni Medicine tu, the best course ever, mpaka sasa, hapa Tz, hakuna kozi ya kuilinganisha nayo moja kwa moja.
Upande wa pili, mwaka huu, omba chuo, kozi zote muhimu unazohisi ni bora kwako na zenye uhakika wa kupata. But wewe jua tu, ushindani ni mkali sana.
Kumbuka hii methali; Usiache mbachao kwa msala upitao.
NOTE:
1. Kuomba kuhama chuo hakukupi uhakika wa moja kwa moja kuweza kuhama.
2.Kuomba upya mkopo kwa kozi nyingine au kupitia udahili mpya wa chuo kingine (hata kama ni kozi ile ile) nako hakukupi uhakika wa moja kwa moja kupata mkopo kutoka bodi ya mkopo. Kuna wakati bodi ya mkopo walikuwa wanazingua sana (wanataka kwanza uwe umemaliza mkopo wa kwanza, halafu waweze kukufikiria kukupa mkopo mwingine mpya, na sera yao isiyo rasmi sana, mkopo hutolewa kwa udahiliwa mara moja tu katika maisha yake!). Hivyo kuna kukosa, kupata kwa shida mnoo au kuchelewa kupata.
Ushauri wa bure niliompa ni zaidi ya mkopo wa pesa na riba.Mkopeshe wewe basi hiyo pesa
Hapa bado hujamsaidia kitu.Aisee apo ulipiga mahesabu vby watoto wa maskini siku zote tunaangalia kozi simple kupata ajira rudi kusoma.....
Mimi apa nakushauri tofauti achana na huo udaktari omba ualimu wa math na physics baada ya apo pambana kufa kupona na ajila portal Ingia kazini
Sio kila mtu alipenda kusoma vitu vya ajabu ni maisha
Mbona post yako hii uliotoa inakinzana taarifa na post yako uliyochapika tarehe 25 Feb 2025Habari zenu wakuu
Nimemaliza kidato cha 6 PCB mwaka 2024 Na kubahatika kupata 1.9
Katika process ya kuomba vyuo, nikaja kupata round ya 3 ambayo ndo ya mwisho kabisa chuo cha kampala, kozi MD.
Sasa ndugu zangu, mm kwetu hoehae,uchumi ni mdogo sana kuweza kumudu hizo garama za ada ambayo ni 7.7M. Lakini kwavile sikuwa na jinsi kipindi hicho baada ya kukosa vyuo round zote ikanibidi tu niende.
Tumejitaidi semester ya 1 ikaisha salama, sasa hii semester ya mwisho tumeshidwa ada ikapelelea nikashindwa ata kufanya CAT 02. Aya apo kuna missed cat inabidi zilipiwe 1exam =40k, 4exams=160k hapo bado sijajumuishwa na deni la UE, 3M inafika.
Kuhama nako ni hadi uwe na transcript, huwezi kuhama bila kulipa ada.
Sasa nikawaza niombe upya mwaka huu, lakini naona ufaulu wa mwaka huu ni mkubwa sana ushindani utakuwa mkubwa naogopa nitakosa chuo.
Naombeni msaada nifanye nn maana hata sielewi cha kufanya.
Unasoma medicine kwasababu ya mshahara au unaipenda?
Mkuu achana na udakitari kampala kama uwezo wenu wa kifedha ni mdogo
Apply MUHAS physiotherapy au Radiology and Imaging Technology therapy
Omba mkopo wako then piga shule hizi kozi ni nzuri utakuja kunishukuru badae
NB
I am a medical personnel and heal
Achana kwanza na mkopo kaka, mhimu nipate chuo kwanza cha bei nafuu. Mkopo kwa mwaka nmepata 420,000 ada 7,700,000. Hakuna kilichopungua.Mbona post yako hii uliotoa inakinzana taarifa na post yako uliyochapika tarehe 25 Feb 2025
Ile post umesema unamkopo leo unasema huna kabisa which is which
Komaa dogoo kusoma wengine hata huo mkopo ulioutaka wanautamani wapambanie ndoto
Acha starehe, acha kushindana wa watoti wa matajiri huko mjini, fuata malengo yako
Bodi nimepata 420k, Ada 7.7M. Hakuna kilichopunguaBora uanze upya. Na sio lazima MD. Vipi bodi?