Nimemaliza kidato cha 6 PCB mwaka 2024 na kubahatika kupata 1.9, naombeni ushauri

Ikikupendeza nisaidie kupata connection Muhas ili niende physiotherapy. Kwasababu mara ya 1 nilitemwa
 
Shukrani sana, ni wazo zuri
 
Vp kuhusu molecular biology and biotechnology pia ya UDSM. Naomba msaada wa ushauri I'm all cooked up bro. Sijuhi niamue nini
 
Ushauri wa nini huoni kaka zako mitaani?, Achana na shule utapoteza muda, kama una pesa za kuchezea ni bora uende hata VETA ukapate ujuzi wa ufundi ambao utakusaidia kusurvive mtaani.

Kama pesa zako za mawazo achana na mawazo ya shule, tumia pesa hizo kupata pesa zaidi.

Wanaokushauri sijui jiunge na chuo fulani sijui cozi fulani, wanakupoteza, hao bado akili zao ziko nyuma miaka ya 90 huko, kwasasa elimu ya maana ni uwezo wa kugeuza juhudi zako za maarifa yanayotatua shida ktk jamii ndipo upate pesa tofauti na hapo utafanana na hawa vijana wapumbavu wanaogeuzwa chawa kisa kukosa ajira na wengine kulandalanda mijini bila kazi maalumu.

Elimu ya Tanzania ni TAKATAKA haina msaada kwa jamii.
 
Achana na kozi hizo majukumu wangu.Nakushauri soma political science.Enzi za ujana wangu nilisoma hiyo mwaka 1959 na nilikula maisha sana
 
Vp kuhusu molecular biology and biotechnology pia ya UDSM. Naomba msaada wa ushauri I'm all cooked up bro. Sijuhi niamue nini
Soma ishu ambazo zipo hata kwenye enrolment za ajira za serikali izo nyengine unaweza soma ukaambiwa hazipo kwenye muundo wa kuajiriwa itakuwaje na ushapoteza hela zako ivi ukishasoma molecular biology si mkoa mzima wa dar wanaweza kuwa wawili halaf wakawa wametosha soma ishu siku watu wakiajiriwa wanaajiliwa kuanzi watu elfu 8hata ukikosa unajipa moyo sasa unasoma ishu ajira zikitoka znatoka ajira tatu halaf kwenu n hohe hahe hebu fikiria vzuri mdogo wang me niko serikalini najua ishu nyingi sn so kuwa makini
 
Njo pm nikuelekeze na kama upo kampala hapa itakua vzr ukuje hap ofisini kwangu ila ili ushauliwe andaaa elfu tano
 
Watu wengi wana ihype MD kinoma noma halafu haina maajabu matokeo yake wanapoteza kuda sana na kutumia effort kubwa kusoma hiyo kozi.

Nakushauri kama uwezo kwenu mdogo tafuta kozi zingine za afya zina shavu tu kuliko MD ,MD kwasasa kama huna ufaulu super mtoto w masikini hawezi kusoma hata kidogo.
 
Mybe akasome Music Doctor kama chemical ...
 
Omba chuo upya uko unakokomaa unamaliza umeteseka sana na kwenye ajira wanaangalia sana umesoma wapi. Tafuta kozi unayoweza pale chuo cha ardhi omba hata EE fresh alafu omba mkopo
 
Hizo kozi zote kwa ufaulu wake mdogo hapati kwa chup chochote cha serikali.. aachane na hizo kozi na kama ni yake ni afya tu hana option aombe diploma na mkopo atapata akasome huko ila kwasasa 1.9 kupata kozi ya afya chuo cha serikali hasa hizo hot cake ni uongo.
 
Na MD kwenye ajira wanaangalia umesoma wapi
 
pole sana mkuu pole sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…