Nimemaliza kidato cha nne, napenda kusoma MD

Nimemaliza kidato cha nne, napenda kusoma MD

Matokeo yapo kama hivi ,.
Civ:c
Bio:c
Chem:B
Physics😀
Math😀
Eng:B

Nimepata 1 ya 17 je nitapata vyuo kama muhas na lugalo pia vyuo vipi ni bora kama nitakosa
NB:malengo nikufaulu vizuri ili niendelee
 
Matokeo yapo kama hivi
Civ C
Bio C
Chem B
English B
Phy D
Math D
History B
Kisw B

Nitumie njia ipi ili nitimize ndoto yangu ya MD kupitia Diploma ya clinical medicine
Omba clinical assistant au kama ni private omba CO
 
Nenda endelea na advance,,baadae itakusumbua sana kuja kusoma udaktari chuo kizuri kwa kutokua na chet cha form six
 
Lakini comb ya PCB haijabalance kwani kupitia chuo itakuwa vigumu mno
Kijana nenda chuo ukasome Clinical Medicine. Hakikisha unaenda vyuo ambavyo ni wabobezi wa clinical medicine ambavyo almost 75% ya wahitimu huwa wanapata first class katika Mtihani wa wizara (second semester). Utakuwa na uhakika wa kupata sifa za kujiunga na MD.
 
Kama vyuo vipi mkuu shukrani 🙏
 
Lakini comb ya PCB haijabalance kwani kupitia chuo itakuwa vigumu mno
Nenda form six kijana acha kudanganywa,,,kuna watu imewatesa hiyo shortcut nina ushahid haswa inapokuja kutaka kusoma degree toka diploma kuna vyuo vizuri kwa sasa hawachagui kama huna chet cha form six,,,hata kama una GPA kubwa ya diploma.....so kasome advance kwanza kijana mbeleni usije pata tabu,ushindan n mwingi
 
Back
Top Bottom