Nimemaliza kidato cha nne, napenda kusoma MD

Nimemaliza kidato cha nne, napenda kusoma MD

Kazi sana apige Dip aende AMO....basi inatosha sanaaaa......kama njia hiyo ni ndefu sanaaaa
AMO sio MD na yeye anataka MD na sio AMO. Ndio maana nikamshauri kama kweli kapata hiyo div1 kwa juhudi zake akasome PCB hata private. Tena atafute private zile za dini na akishapata nafasi kabla hajaanza shule ahakikishe anasoma twishen walau topic moja au mbili kwenye kila somo.
 
Kama lengo lako ni kusoma MD basi nenda kasome form6 PCB. Kama ukikosa serikali basi kaaply private.

Linapokuja swala la degree diploma huwa hawapewi kipaumbele, unaweza shangaa una gpa kubwa lakini bado ukakosa nafasi ya kusoma MD. Kama kweli hiyo div1 uliipata kwa juhudi zako basi uwezo unao, nenda form6 kijana!

NB: Usidanganywe na watu eti kombi haijabalance. Advance haina uhusiano na form4, kama una nia apply private kapige kitabu na kama uko home anza kwenda tution kabla shule hazijafunguliwa.
Ushahuri muhimu huu nimemshahuri nenda six hao diploma nafasi n chache sana sa hv
 
Na nasikia bugando enyewe hawachagui ambae hakwenda A level ila ana diploma so sijui ka ni kweli kwa hapo ila sikubzinavyozid vigezo vitakua vingi ili kupunguza jam kimojawapo utaambiwa udaktari licha ya diploma lazima uwe na chet ya form six
 
Matokeo yapo kama hivi
Civ C
Bio C
Chem B
English B
Phy D
Math D
History B
Kisw B

Nitumie njia ipi ili nitimize ndoto yangu ya MD kupitia Diploma ya clinical medicine
science and laboratory dit mwanza then piga biomedical dit dar es salaam
 
Nenda form six kijana acha kudanganywa,,,kuna watu imewatesa hiyo shortcut nina ushahid haswa inapokuja kutaka kusoma degree toka diploma kuna vyuo vizuri kwa sasa hawachagui kama huna chet cha form six,,,hata kama una GPA kubwa ya diploma.....so kasome advance kwanza kijana mbeleni usije pata tabu,ushindan n mwingi
Lo! Form six Gani aende na PCB point 9, Shule ipi hiyo?
Labda
 
Back
Top Bottom