Nimemaliza kidato cha nne, napenda kusoma MD

Nimemaliza kidato cha nne, napenda kusoma MD

Lakini comb ya PCB haijabalance kwani kupitia chuo itakuwa vigumu mno
Unaweza kupata,lakin itakua vyuo vya kawaida vya bei ghali pia,,,ushindan n mwingi kwa nini usiende six ujaze msuli ufahulu vizuri uunge degree moja kwa moja
 
Je?ni vyuo vipi bora kwa diploma ya clinical medicine
1 machame cotc
2kibaha cotc
3sengerema
4Mafinga cotc
5kilosa cotc
6mtwara
7kcmc pia wanatoa
NAkumbuka baadhi ya hivi kwa kua ni vikongwe sana na nimesoma kimojawapo miaka ya zamani ila sasa hiv vyuo vimeshakua n vingi sana
 
Kuna jamaa humu ameniambia kuna vyuo vya kuweza kupata 75%first class GPA kama vipi mkuu
 
Cha kufanya ni kusoma clinical medicine, vyuo vipo vingi sana baada ya hapo hakikisha unapata GPA kuanzia ya 3.0 kama vigezo vinavyotaka ila kujihakikishia nafasi unaweza kuscore GPA kuanzia ya 4.0 hapo unaweza kuwa MD ila ikigima nenda kozi nyingine ambazo ni nzuri pia
 
🙏 🙏 🙏 🙏 🙏
 
Matokeo yapo kama hivi
Civ C
Bio C
Chem B
English B
Phy D
Math D
History B
Kisw B

Nitumie njia ipi ili nitimize ndoto yangu ya MD kupitia Diploma ya clinical medicine
Kama lengo lako ni kusoma MD basi nenda kasome form6 PCB. Kama ukikosa serikali basi kaaply private.

Linapokuja swala la degree diploma huwa hawapewi kipaumbele, unaweza shangaa una gpa kubwa lakini bado ukakosa nafasi ya kusoma MD. Kama kweli hiyo div1 uliipata kwa juhudi zako basi uwezo unao, nenda form6 kijana!

NB: Usidanganywe na watu eti kombi haijabalance. Advance haina uhusiano na form4, kama una nia apply private kapige kitabu na kama uko home anza kwenda tution kabla shule hazijafunguliwa.
 
Komaas PCB ....upate Div 3 uone kama utaenda Dip miaka 3.....then uunge MD 5yrs....la sivyo utasumbuka sanaa bila form 6
 
Hapa sina ushauri..

Ila kila njia ina risk zake
 
Komaas PCB ....upate Div 3 uone kama utaenda Dip miaka 3.....then uunge MD 5yrs....la sivyo utasumbuka sanaa bila form 6
Hata hiyo diploma kupata nafasi ya degree ya MD itamsumbua na wenda asisome kabisa kwa ushindani uliopo.

NB: Unadhani muhimbili pakiwa na nafasi moja imebaki alafu akaapply form6 mwenye 1.3 au 1.4 pcb na CO mwenye gpa ya 4.9 unadhani nani atapewa hiyo nafasi moja? (Jibu unalo).
 
Kazi sana apige Dip aende AMO....basi inatosha sanaaaa......kama njia hiyo ni ndefu sanaaaa
 
Back
Top Bottom