Daspauls 238
Member
- Mar 7, 2024
- 36
- 70
Omba clinical assistant au kama ni private omba COMatokeo yapo kama hivi
Civ C
Bio C
Chem B
English B
Phy D
Math D
History B
Kisw B
Nitumie njia ipi ili nitimize ndoto yangu ya MD kupitia Diploma ya clinical medicine
Mbona unauliza na kujijibu?Matokeo yapo kama hivi
Civ C
Bio C
Chem B
English B
Phy D
Math D
History B
Kisw B
Nitumie njia ipi ili nitimize ndoto yangu ya MD kupitia Diploma ya clinical medicine
Clinical assistant ipoje hiyo bro nielewesheOmba clinical assistant au kama ni private omba CO
FuatiliaClinical assistant ipoje hiyo bro nieleweshe
Lakini comb ya PCB haijabalance kwani kupitia chuo itakuwa vigumu mnoNenda endelea na advance,,baadae itakusumbua sana kuja kusoma udaktari chuo kizuri kwa kutokua na chet cha form six
Kijana nenda chuo ukasome Clinical Medicine. Hakikisha unaenda vyuo ambavyo ni wabobezi wa clinical medicine ambavyo almost 75% ya wahitimu huwa wanapata first class katika Mtihani wa wizara (second semester). Utakuwa na uhakika wa kupata sifa za kujiunga na MD.Lakini comb ya PCB haijabalance kwani kupitia chuo itakuwa vigumu mno
Kama vyuo vipi mkuu shukrani 🙏Kijana nenda chuo ukasome Clinical Medicine. Hakikisha unaenda vyuo ambavyo ni wabobezi wa clinical medicine ambavyo almost 75% ya wahitimu huwa wanapata first class katika Mtihani wa wizara (second semester). Utakuwa na uhakika wa kupata sifa za kujiunga na MD.
Mdogo kivipi? Mbona matokeo siyo mabaya! Kuna watu wameenda advance na Triple C na CCD na wakafanya vizuri Advance...na sasa ni madaktari.Mbona unauliza na kujijibu?
Jibu unalo nenda diploma, usiende advance uwezo wako ni mdogo mno
CBD huwezi chaguliwa?.Lakini comb ya PCB haijabalance kwani kupitia chuo itakuwa vigumu mno
Je?ni vyuo vipi bora kwa diploma ya clinical medicineCBD huwezi chaguliwa?.
Ngoja wajuzi wanakuja kutujuza.Je?ni vyuo vipi bora kwa diploma ya clinical medicine
Wewe upo Dar?Kama vyuo vipi mkuu shukrani 🙏
Nipo mwanza mkuu ila Dar kuna kaka yanguWewe upo Dar?
Nenda form six kijana acha kudanganywa,,,kuna watu imewatesa hiyo shortcut nina ushahid haswa inapokuja kutaka kusoma degree toka diploma kuna vyuo vizuri kwa sasa hawachagui kama huna chet cha form six,,,hata kama una GPA kubwa ya diploma.....so kasome advance kwanza kijana mbeleni usije pata tabu,ushindan n mwingiLakini comb ya PCB haijabalance kwani kupitia chuo itakuwa vigumu mno