Nimemaliza kuangalia Series ya Breaking Bad na Game of Throne, naombeni nyingine kama hio

Ulivyosema umemaliza breaking bad na Got ila Bb ikawa nzuri kuliko Got hapo tu ndo umenishangaza,,,,,nilianza kudownload hizi series mbili ila Got niliikamilisha kuitazama na ikaniacha na hamu lakn BB ipo tu nimekomea njiani yaani inakata mood,,nimetazama serie 1 ya homeland ila naona ni moto Sana.
 
Uzuri wa BB huwezi kuufaidi kama umeishia njiani, ukifika angalau season 3 huwezi quit
 
Back
Top Bottom