Nimemchoka huyu dada, nataka tu nianze maisha mengine. Hana akili kabisa

Umenifurahisha kwaiyo hupew had utoe huduma?
Hapana sio lazima iwe kila mara nipe nikupe but kuna ule utayari wa kuhudumia anapohitajika upo?

Kuna mwingine yeye anataka akikohoa tu apewe lakini ikifika muda na jamaa ana mahitaji naye anaanza sound makusudi...huyo apauke tu🤣🤣🤣

Lakini mimi sina wa hivyo
ERoni
 
Hv kuna wanawake wanaozingua kutoa mzigo achen masihara bana
 
Kwakweli sie wa 200k sio maslay queen hatujui kuvaa sio classic acha wafe na stress hivo ela anavomwaga angekuwa amefanyia kitu Cha maana huenda angekuwa na mwanamke mwenye akili angekuwa na nyumba hata 2😀😀😀
Maisha yana mengi sana mkuu.
 
Mleta mada ndio kashanyoosha mikono 😂
Itabidi arudi kwetu sisi wenye vijichunusi vya hapa na pale...hata hivyo kei si ile ile 🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…