Nafikiri nishafunga ukurasa.
Naoenda sana MWANAMKE mwenye AKILI.
Warembo wengi yaani vile visu vikali akili za maisha ni zero, watakufanya uzunguke jangwani maisha yako yote.
Katika maisha hawana msaada wa kukitunza hata kidogo ulicho nacho.
Wako kukitapanya tu ili waonekane wako juu kila wakati.
So kwangu ukurasa...umefungwa...labda kwa msaada wa dharuraπ
Tuweke kule kule buzer π€£Sasa kama rafiki zako ndio mshamba_hachekwi tukuweke wapi?
π€£π€£π€£ ee au?Fumbaf sana wewe dadaπ€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£
Soma vizuri mremboHapo kwenye msaada wa dharura mie hoi π
Em nipe code maybe ndio wenyewe.Huu mwandiko ni kama naujua..
Ni chaguo lako....by the way, mnataka classic chiks, wanataka classic cash, wakupe classic services....
Huu ndio uanaume sasahata km anayo ghafla hawez kunipa
Umeshawahi kumpa demu 1m?Mara kwanza unampa hata 1m
Khaaa kwanini hakupi hela jamaniMm siomb hela ya matumizi hata sku moja. Nikiomba ujue nimekwama sina jinsi. Na ukitaka proof natoa. Lakin wap!. Unakuta mtu anataka uombe vocha
Shida ilianzia siku ya kwanza ukivyomtongozaAnapenda pesa kama Bank. Hazipiti week mbili anaomba pesa. Yeye zake anatanua sana maisha. Simu anabadilisha kila mara na vitu vya thamani. Kushindana na wenzie kuwa ana boyfriend tajiri. Mimi siyo tajiri. Nimekuwa tu fala nikidhani atathamini mapenzi yangu.
Now its too much. Aende zake kwa kweli. Inatosha sana.
View attachment 2682796
Shida ilianzia siku ya kwanza ukiyomtongozaWakati wewe unatarajia kuonesha upendo mwenzako anatarajia pesa yako ! Ni kama biashara yaani wewe umpe pesa yeye akupe sex! Kama lengo awe mke basi niseme tu hamna malengo yanayofanana.
Siku ya kwanza kumtongoza uliingia na gia gani?Anapenda pesa kama Bank. Hazipiti week mbili anaomba pesa. Yeye zake anatanua sana maisha. Simu anabadilisha kila mara na vitu vya thamani. Kushindana na wenzie kuwa ana boyfriend tajiri. Mimi siyo tajiri. Nimekuwa tu fala nikidhani atathamini mapenzi yangu.
Now its too much. Aende zake kwa kweli. Inatosha sana.
View attachment 2682796
Aliyekuamini, namuonea huruma sana dada mkubwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3]Nakujua wew mwenyekiti wa uwabata
Ela ngumu sana sikuhizi ukiwa na mtu anatoa hata 50k shukuru anakupenda na anakusupport,
π π πYaani wewe ni mimi, pesa nyingi labda nipewe na mume wa mtu [emoji1787]
Hata hakunaga cha classix service..Ngono ni ngono tuu..Haina jipya..Ni chaguo lako....by the way, mnataka classic chiks, wanataka classic cash, wakupe classic services....
Mshahara usipokuwa na akili nzuru hautoshiMkuu ni made up story, mtu mwenye mshahara wa over 2m net salary gross salary yake ni karibu 5m, huyo hawezi kua na tabia kama hizo unazotaka kuzionyesha hapo anaomba omba 150k.
Hii ni habari ya kupika.
Acha kumfundisha ujingaBoss kama unayo mpe ...Personally kutokana na harakat zangu natoa cuz najua hiyo pesa hamna cha maana atafanya zaid ya kumalizia saloon, cjui kubandika kucha na hizo cosmetics zao, Baada ya cku nne hana hata mia So akikuomba tena baada ya week usishangae wee mpe ... But spend wat yu can afford to lose unless utakufa masikini
Upo km mmTumeumbwa tofauti sana.
Kwa namna yoyote ile siwezi kumwomba mtu hela huku nikiwa ni mtu mwenye afya njema na akili timamu.
Niko radhi kwenda hata kusafisha vyoo au kubeba zege kuliko kuomba omba kwa mtu au watu.