Nimemchoka huyu dada, nataka tu nianze maisha mengine. Hana akili kabisa

Nimemchoka huyu dada, nataka tu nianze maisha mengine. Hana akili kabisa

Nafikiri nishafunga ukurasa.
Naoenda sana MWANAMKE mwenye AKILI.
Warembo wengi yaani vile visu vikali akili za maisha ni zero, watakufanya uzunguke jangwani maisha yako yote.

Katika maisha hawana msaada wa kukitunza hata kidogo ulicho nacho.
Wako kukitapanya tu ili waonekane wako juu kila wakati.

So kwangu ukurasa...umefungwa...labda kwa msaada wa dharura😂

Hapo kwenye msaada wa dharura mie hoi 😂
 
Boss kama unayo mpe ...Personally kutokana na harakat zangu natoa cuz najua hiyo pesa hamna cha maana atafanya zaid ya kumalizia saloon, cjui kubandika kucha na hizo cosmetics zao, Baada ya cku nne hana hata mia So akikuomba tena baada ya week usishangae wee mpe ... But spend wat yu can afford to lose unless utakufa masikini
 
Anapenda pesa kama Bank. Hazipiti week mbili anaomba pesa. Yeye zake anatanua sana maisha. Simu anabadilisha kila mara na vitu vya thamani. Kushindana na wenzie kuwa ana boyfriend tajiri. Mimi siyo tajiri. Nimekuwa tu fala nikidhani atathamini mapenzi yangu.

Now its too much. Aende zake kwa kweli. Inatosha sana.

View attachment 2682796
Shida ilianzia siku ya kwanza ukivyomtongoza
Wakati wewe unatarajia kuonesha upendo mwenzako anatarajia pesa yako ! Ni kama biashara yaani wewe umpe pesa yeye akupe sex! Kama lengo awe mke basi niseme tu hamna malengo yanayofanana.
Shida ilianzia siku ya kwanza ukiyomtongoza
Anapenda pesa kama Bank. Hazipiti week mbili anaomba pesa. Yeye zake anatanua sana maisha. Simu anabadilisha kila mara na vitu vya thamani. Kushindana na wenzie kuwa ana boyfriend tajiri. Mimi siyo tajiri. Nimekuwa tu fala nikidhani atathamini mapenzi yangu.

Now its too much. Aende zake kwa kweli. Inatosha sana.

View attachment 2682796
Siku ya kwanza kumtongoza uliingia na gia gani?
 
Ni chaguo lako....by the way, mnataka classic chiks, wanataka classic cash, wakupe classic services....
Hata hakunaga cha classix service..Ngono ni ngono tuu..Haina jipya..
Kuchomeka chomoa kwishaa hakuna la ziada. Utabadilishiwa mikao ila mwisho wa siku ni kuchomeka na kuchomoa na kuikojolea NOTHING ELSE SPECIAL..
KUni laghai kipumbavu hivto haipooo
 
Tumeumbwa tofauti sana.

Kwa namna yoyote ile siwezi kumwomba mtu hela huku nikiwa ni mtu mwenye afya njema na akili timamu.

Niko radhi kwenda hata kusafisha vyoo au kubeba zege kuliko kuomba omba kwa mtu au watu.
 
Mkuu ni made up story, mtu mwenye mshahara wa over 2m net salary gross salary yake ni karibu 5m, huyo hawezi kua na tabia kama hizo unazotaka kuzionyesha hapo anaomba omba 150k.

Hii ni habari ya kupika.
Mshahara usipokuwa na akili nzuru hautoshi

Mfano anapokea 2m net salary

Mchanganuo...kodi alipe mfano laki3 /4 per month (nyumba nzuri classic )

Tuchukue ana mkopo wa gari..kila mwezi anakatwa laki4.50

Hela ya wese..kwa mwezi laki3 agregate ya elfu 10 per day

Kama ni sister duh kusuka nywele kwa week 60,000 mwezi tuchukue laki2

Vikoba 150,000 kwa mwezi

Hii ni fixed kwa mwezi

Bado..harusi, kusaidia wazazi wetu hawa..anunue nguo, alipie azam, umeme, gesi,

Ndio utajua kuwa 2M akiwa sister saana haitamtosha kama akiamua kutokutia akili ya kujibana..atajua bwana wake atagharamia
 
Boss kama unayo mpe ...Personally kutokana na harakat zangu natoa cuz najua hiyo pesa hamna cha maana atafanya zaid ya kumalizia saloon, cjui kubandika kucha na hizo cosmetics zao, Baada ya cku nne hana hata mia So akikuomba tena baada ya week usishangae wee mpe ... But spend wat yu can afford to lose unless utakufa masikini
Acha kumfundisha ujinga
 
Back
Top Bottom