Hujui usemacho, asikuombe pesa amuombe nani? Rekebisha kauliHao kudeal nao simple tu, ila kama mko string attached fuata vile moyo wako unataka.
mwanamke anaekupenda kamwe hawezi kukuomba hela.
Una kandamizia sana utaua mwananguπ€£π€£Lkn wanaume na nyie kinachowaponza mna kuwa na videmu huku na kule ndio mana vizinga vikianza lazima penzi life. Nawaza kama jamaa demu mmoja anaomba laki3 na labda anao kama wanne hivi lazima akimbie [emoji23][emoji23][emoji23]
π€£π€£π€£π Umeona eehLkn wanaume na nyie kinachowaponza mna kuwa na videmu huku na kule ndio mana vizinga vikianza lazima penzi life. Nawaza kama jamaa demu mmoja anaomba laki3 na labda anao kama wanne hivi lazima akimbie [emoji23][emoji23][emoji23]
ππUna kandamizia sana utaua mwananguπ€£π€£
Nalo nenoNi chaguo lako....by the way, mnataka classic chiks, wanataka classic cash, wakupe classic services....
Utaua huyo jamaa alipo anamtaka huyi demu sema dau limepandaπ€£π€£ππ
πππππ€£π€£π€£π Umeona eeh
Labda kama you meant classic hoes maana last time i checked classic chics wanajitosheleza sana, vizinga vya laki 3 hawawezi kukupiga, USD 150 classic chics zitawasaidia nini sasa..??Ni chaguo lako....by the way, mnataka classic chiks, wanataka classic cash, wakupe classic services....
Shauri zako mm sijasema kituππUtaua huyo jamaa alipo anamtaka huyi demu sema dau limepandaπ€£π€£
We hayaπ€£Shauri zako mm sijasema kituππ
Kmmmk walai, yani umtumie mtu hela London badala yeye atume hela bongo. Uzwazwa huo! π€£ π€£ π€£Kuna demu yuko London anafanya kazi kwenye international auditing company level za kina KPMG na PWC nikashangaa ananiomba hela. Nikamjibu usijali nitumie bank account nikashtuka lile jini kweli limetuma na liko serious. Nikasema hata kama ananipima kama niko serious acha tu nimkose kuliko kutuma laki 3 London kwa mtu anayepokea mamilioni kwa mwezi. NI BINTI TOKA MKOANI KILIMANJARO.
Tumefanya nini?Ila wanawake bwana! Unajaribu kuwaza mtu anafikiria nini unashindwa kuelewa.
Ok sawa, mfano umeshikwa na shida ya muhimu mfano msiba? Ugonjwa, au mgonjwa nk. Na inatakiwa pesa ndani ya huo muda na huna utafanyeje?Tumeumbwa tofauti sana.
Kwa namna yoyote ile siwezi kumwomba mtu hela huku nikiwa ni mtu mwenye afya njema na akili timamu.
Niko radhi kwenda hata kusafisha vyoo au kubeba zege kuliko kuomba omba kwa mtu au watu.
Naona unakazia na wewe dadaππ€£π€£π€£π Umeona eeh
Mnajua wenyewe mnachofanya!Tumefanya nini?
Mtoe pesa bwana, acheni malalamiko.Mnajua wenyewe mnachofanya!
Wanaoweza kutoa watoe tu, wengine tunaipata kwa jasho la damu haiwezi kutoka kizembe namna hiyo.Mtoe pesa bwana, acheni malalamiko.