Nimemchoka huyu dada, nataka tu nianze maisha mengine. Hana akili kabisa

Mama Elisha...kabla hujaniona maeneo yale...nimwpitia moto wa miss mwenzako...mpenda maisha ya juu kila siku, niliparuliwa hadi ngozi acha tu.

Nitume kwenye namba ipi inayoishia na 8 au na 01 ?🤣🤣🤣
Ile ya 123
Mwanaume lazima upitishwe kwenye moto ili uwe wa kiume vizuri
 
Daah mwanangu sepa
 
Wewe bado una ujana wanawake wabovu huwa wanajitenga mapema sana kama maji na mafuta pole sana anza kucalculate pesa ulizomuonga ukionga onga kiakili usije zani ulipedwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…