Nimemchoka huyu dada, nataka tu nianze maisha mengine. Hana akili kabisa

Nimemchoka huyu dada, nataka tu nianze maisha mengine. Hana akili kabisa

Mama Elisha...kabla hujaniona maeneo yale...nimwpitia moto wa miss mwenzako...mpenda maisha ya juu kila siku, niliparuliwa hadi ngozi acha tu.

Nitume kwenye namba ipi inayoishia na 8 au na 01 ?🤣🤣🤣
Ile ya 123
Mwanaume lazima upitishwe kwenye moto ili uwe wa kiume vizuri
 
Anapenda pesa kama Bank. Hazipiti week mbili anaomba pesa. Yeye zake anatanua sana maisha. Simu anabadilisha kila mara na vitu vya thamani. Kushindana na wenzie kuwa ana boyfriend tajiri. Mimi siyo tajiri. Nimekuwa tu fala nikidhani atathamini mapenzi yangu.

Now its too much. Aende zake kwa kweli. Inatosha sana.

View attachment 2682796
Daah mwanangu sepa
 
Wewe bado una ujana wanawake wabovu huwa wanajitenga mapema sana kama maji na mafuta pole sana anza kucalculate pesa ulizomuonga ukionga onga kiakili usije zani ulipedwa
 
Back
Top Bottom