Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 19,041
- 46,239
😀😀😀Nchi ya ujamaa hii.Lazima kushirikiana kula mavuno kwa umoja zaidi.😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😀😀😀Nchi ya ujamaa hii.Lazima kushirikiana kula mavuno kwa umoja zaidi.😂
🤣🤣Jack mengi huyuhuyu aloyefoj mirathi ya mengi🤔🤔dogo usipumbazwe na mapicha na Instagram,utashangazwa johMwanaume tajiri,anamfungulia mtu wake mradi,hamwagimwagi hela.Akina Jacqueline Mengi,Faraja Nyarandu n.k. wanafanya kazi ndiyo wanapata hela.
Sina fedha. Siyo hela.Swali la kizushi,
Je ni kwamba demu hafai
AU
Je ni kwamba hauna hela??🤔
No offence!
Ungezoea. Ungeona kawaida ungetaka zaidi. Ndivyo inavyokuwa.Wenzetu wanapata wap watu wa hv jaman. Watu tunapauka na shida ah jaman had wivu mi hata nkipewa laki kwa mwez si nngetemea wanaume mate huko nje😂😂
Aiyeee nimecheka kwa sauti mweeehNi chaguo lako....by the way, mnataka classic chiks, wanataka classic cash, wakupe classic services....
kwahiyo we unaona huyo mdada yuko sawa??Nilitak nishangae uwabata nisiwaone hapa
Hayuko sawa huenda pia amemzoesha hivo mimi Huwa naomba lakini ni kwaajili ya vitu vya maana na anajua plan nn nafanya na Huwa nasema before miez miwil au mmoja kabla nae anapata muda wa kutafuta na hata km anayo ghafla hawez kunipa 🤣🤣🤣kwahiyo we unaona huyo mdada yuko sawa??
au na we upo chama cha kausha damu😂
hii hesabu ya wapi na ww 2m net gross iwe 5m labda ya zimbabweMkuu ni made up story, mtu mwenye mshahara wa over 2m net salary gross salary yake ni karibu 5m, huyo hawezi kua na tabia kama hizo unazotaka kuzionyesha hapo anaomba omba 150k.
Hii ni habari ya kupika.
uyu demu hakufai hata kidogo usirudi nyuma chapa lapa
una sehemu yako mbinguniHayuko sawa huenda pia amemzoesha hivo mimi Huwa naomba lakini ni kwaajili ya vitu vya maana na anajua plan nn nafanya na Huwa nasema before miez miwil au mmoja kabla nae anapata muda wa kutafuta na hata km anayo ghafla hawez kunipa 🤣🤣🤣
Ukikua utaelewa dogo. Ngoja watu wenye uzoefu watakuambia about women. Kama unaamini its a made up story. Ni sababu hujakutana na hawa watu bado. Believe what you believe young man.Mkuu ni made up story, mtu mwenye mshahara wa over 2m net salary gross salary yake ni karibu 5m, huyo hawezi kua na tabia kama hizo unazotaka kuzionyesha hapo anaomba omba 150k.
Hii ni habari ya kupika.
Huyo dogo hajui maisha ya wanawake. Aulize wenye uzoefu. Mwanamke unaweza wewe mshahara ukawa unalipwa tsh 600,000 yeye 1,500,000 na bado akakuambia ana shida na pesa umsaidie. Kama ni mkeo bado kuna siku atakuambia anaomba pesa ya salon au kununulia umeme nyumban umeisha🤣🤣 labda 2m ni Gross.
Nina dada rafiki ana gross ya 1.8m na hana mkopo wa HESLB.
Ila sasaa madeniiii
Ananikopa hadi mie naelipwa afu 1.
Sasa imagine kwa bwana ake anaombaje?
Yule anaishi classic life balaa.. kwenda kula dinner Melia ye kawaida tu.
Mtu unapokea afu3 monthly, lakini unaaishi maisha ya elf 7. Hizo 4 zinatoka wapi?
Ndo hao wa mtoa mada
Sijawah pewa mm hyo. Yani itokee hvyo au zaid sjui ntamfanyajeLaki kwa mwezi....mbona pesa ya kawaida hiyo sana [emoji56][emoji56]
Mtu analala na mama yako unamuita dogo? Mabinti wa siku hizi heshima hakuna kabisa, ama unataka nikushikishe ukuta na wewe nile kuku na mayai?Ukikua utaelewa dogo. Ngoja watu wenye uzoefu watakuambia about women. Kama unaamini its a made up story. Ni sababu hujakutana na hawa watu bado. Believe what you believe young man.