Nimemchoka huyu dada, nataka tu nianze maisha mengine. Hana akili kabisa

Nimemchoka huyu dada, nataka tu nianze maisha mengine. Hana akili kabisa

🤣
Mwanaume tajiri,anamfungulia mtu wake mradi,hamwagimwagi hela.Akina Jacqueline Mengi,Faraja Nyarandu n.k. wanafanya kazi ndiyo wanapata hela.
🤣🤣Jack mengi huyuhuyu aloyefoj mirathi ya mengi🤔🤔dogo usipumbazwe na mapicha na Instagram,utashangazwa joh
 
Tatizo linaanza pale kijana anapotaka kutimiza majukumu ya mume kwa mwanamke ambaye hajamuoa (girlfriend)

Vijana wa kiume mwanamke pekee wa kumtunza na kumhudumia ni mke wako wa ndoa tu

Wengine ni kupoteza muda na pesa zako tu. Mtachunwa na kupigwa sana vizinga
 
Wenzetu wanapata wap watu wa hv jaman. Watu tunapauka na shida ah jaman had wivu mi hata nkipewa laki kwa mwez si nngetemea wanaume mate huko nje😂😂
Ungezoea. Ungeona kawaida ungetaka zaidi. Ndivyo inavyokuwa.
 
Mwanamke akiwa ombaomba sana mnyime pesa makusudi hata kama unazo mwambie hauna halafu msikilizie akikuchunia imeisha hiyooo! Kashaachika huyo

Hakuna kugawagawa pesa kwa wanawake kisa tu mbususu, hawana mchango wowote katika maisha yako zaidi ya kukuchuna na vizinga

Shtuka kijana
 
Screenshot_2023-07-09-16-30-48-778_com.whatsapp~3.jpg
 
kwahiyo we unaona huyo mdada yuko sawa??

au na we upo chama cha kausha damu😂
Hayuko sawa huenda pia amemzoesha hivo mimi Huwa naomba lakini ni kwaajili ya vitu vya maana na anajua plan nn nafanya na Huwa nasema before miez miwil au mmoja kabla nae anapata muda wa kutafuta na hata km anayo ghafla hawez kunipa 🤣🤣🤣
 
Hayuko sawa huenda pia amemzoesha hivo mimi Huwa naomba lakini ni kwaajili ya vitu vya maana na anajua plan nn nafanya na Huwa nasema before miez miwil au mmoja kabla nae anapata muda wa kutafuta na hata km anayo ghafla hawez kunipa 🤣🤣🤣
una sehemu yako mbinguni

ningekununulia kinywaji sema ndo hivyo, UWABATA😂
 
Mkuu ni made up story, mtu mwenye mshahara wa over 2m net salary gross salary yake ni karibu 5m, huyo hawezi kua na tabia kama hizo unazotaka kuzionyesha hapo anaomba omba 150k.

Hii ni habari ya kupika.
Ukikua utaelewa dogo. Ngoja watu wenye uzoefu watakuambia about women. Kama unaamini its a made up story. Ni sababu hujakutana na hawa watu bado. Believe what you believe young man.
 
Toka mwanzo ulionekanaa unamwaga pesaa anything anytimee😅😅😅..in mzee mpili voice
 
🤣🤣 labda 2m ni Gross.

Nina dada rafiki ana gross ya 1.8m na hana mkopo wa HESLB.
Ila sasaa madeniiii
Ananikopa hadi mie naelipwa afu 1.
Sasa imagine kwa bwana ake anaombaje?
Yule anaishi classic life balaa.. kwenda kula dinner Melia ye kawaida tu.
Mtu unapokea afu3 monthly, lakini unaaishi maisha ya elf 7. Hizo 4 zinatoka wapi?

Ndo hao wa mtoa mada
Huyo dogo hajui maisha ya wanawake. Aulize wenye uzoefu. Mwanamke unaweza wewe mshahara ukawa unalipwa tsh 600,000 yeye 1,500,000 na bado akakuambia ana shida na pesa umsaidie. Kama ni mkeo bado kuna siku atakuambia anaomba pesa ya salon au kununulia umeme nyumban umeisha
 
Ukikua utaelewa dogo. Ngoja watu wenye uzoefu watakuambia about women. Kama unaamini its a made up story. Ni sababu hujakutana na hawa watu bado. Believe what you believe young man.
Mtu analala na mama yako unamuita dogo? Mabinti wa siku hizi heshima hakuna kabisa, ama unataka nikushikishe ukuta na wewe nile kuku na mayai?
 
Back
Top Bottom