Nimemchoka huyu dada, nataka tu nianze maisha mengine. Hana akili kabisa

Nimemchoka huyu dada, nataka tu nianze maisha mengine. Hana akili kabisa

Hii tabia inaonyesha how immature you are. Tafuta hela, laki tatu sio ya kuja kulalamika humu unless hujampenda maana ukipenda mtu uwe tayari kwenda nae extra miles.
Dada... Hela ndo nini? Sema fedha au pesa. Matured women dont use the word hela.
 
hii hesabu ya wapi na ww 2m net gross iwe 5m labda ya zimbabwe
Rudi shule uongeze maarifa kabla hujaja humu kujadiliana.

Kukusaidia ili siku nyingine usionekane kalagabao, ukiwa unalipwa mshahara wa 5m, makato ya NSSF na PAYE ni 1.8m. Hii hesabu unaweza kufanya mwenyewe kwenye website ya TRA.

Sasa kama 5m, toa NSSF na TRA ni 1.8, unabaki na 3.2m, hapo assumption ni kwamba hakuna makato mengine kama ya vyama vya wafanyakazi, bima ya afya, mkopo wa bank nk.

Sasa ukichukua makato mengine kama yapo, net unadhani itakua kiasi gani?

Usisahu pia kwenye maelezo yangu sikusema analipwa 5M, nimesema anakaribia 5M.

Usibishe jambo usilolijua binti.
 
Bado nawewe ni walewale,mnatofautiana viwango vya kuomba hela.Muwe mnaomba kufunguliwa miradi,siyo hela kila mara.
Mm siomb hela ya matumizi hata sku moja. Nikiomba ujue nimekwama sina jinsi. Na ukitaka proof natoa. Lakin wap!. Unakuta mtu anataka uombe vocha
 
Kwann nitanie. Mm toka niombe napigwa kalenda mtu asiponipa sithubutu kuomba. Ndo nashangaa watu wanapewa sjui balo la wap hili
Huduma unampa lkn?
Kama huduma unatoa hupewi basi uje nikupe siri
 
Rudi shule uongeze maarifa kabla hujaja humu kujadiliana.
nirudi shule kufanya nn mtoa mada hajasema kama ni net au gross ww ume kuja na jibu lako tayr ndo nimeshangaa kuona unasema gross ya 5m ikupe net 2m
twende uko shule sasa nipe mchanganuo wakuleta hiyo 2m
 
Bado sana huku
Demu mwenye gari tayari ni classic .
I am still stuck on classic chick wa kung'ang'ania kupewa 300,000. I am sorry.

Yule bidada ninayemsema shughuli zake ni kama princess fulani hivi.

Yani akija Bongo utamsikia leo kaenda kuhudumia watoto yatima, ana Foundation yake. Mambo ya Abraham Maslow fulani hivi.

Kesho ana mipango ya kuangalia viwanja gani huko kama wilaya nzima wanavigawa na kutengeneza hati.

Akitoka hapo safari za mbugani sasa kama zote northern circus huko Serengeti, Tarangire na zagazaga zote.

Akimaliza hapo huyoo US. Halafu miezi mitatu anarudia tena hivyo hivyo kivingine.

Passport imejaa mihuri ya dunia nzima mpaka inabidi kubadilisha kutokana na utalii sehemu mbalimbali duniani. Asia, Europe, America. Classic chick kabadili passport kwa kusafiri sana.

Halafu mtoto wa watu very humble, very private, huwezi kukuta hata picha moja ka post insta wala FB, kwanza hata hana.

Akikaa jikoni anatoa vyakula vya nyumbani mpaka najiona nimerudi Misheni Kota Kariakoo.

Sasa nikisoma hawa classic chicks wa kuomba Shs 300,00 kwa kulazimisha, nacheka sana.

Tuliowajua classic chicks lazima tuweke mstari wa kuwatenganisha classic chicks na wadangaji wa kawaida tu.
 
nirudi shule kufanya nn mtoa mada hajasema kama ni net au gross ww ume kuja na jibu lako tayr ndo nimeshangaa kuona unasema gross ya 5m ikupe net 2m
twende uko shule sasa nipe mchanganuo wakuleta hiyo 2m
Hata maelezo yangu ya awali sikusema kama kasema ni gross ama net, nimtoa option ya net, na kuna mjumbe mwingine akauliza kama ikiwa gross, nikatoa na mchanganuo pia.

Ila ukisoma maelezo ya mtoa mada ile ni net maana anamlaumu anapeleka wapi zaidi ya 2m anayoipata, sasa kama ni gross, mtu yoyote mwenye akili(labda useme mtoa mada hana akili) anajua kwamba 2m+ ya gross huipati yote, utapata 1m+, sasa utalaumiwaje kua umeharibu 2m wakati kiuhalisia hupati 2m unapata 1m?

So kwa kusoma katikati ya mistari na kusoma aina ya uandishi unapata hitimisho kwamba ile ni net na sio gross.
 
Anapenda pesa kama Bank. Hazipiti week mbili anaomba pesa. Yeye zake anatanua sana maisha. Simu anabadilisha kila mara na vitu vya thamani. Kushindana na wenzie kuwa ana boyfriend tajiri. Mimi siyo tajiri. Nimekuwa tu fala nikidhani atathamini mapenzi yangu.

Now its too much. Aende zake kwa kweli. Inatosha sana.

View attachment 2682796
Kwani mapenzi ni pesa?
 
Back
Top Bottom