Nimemchoka huyu dada, nataka tu nianze maisha mengine. Hana akili kabisa

Nimemchoka huyu dada, nataka tu nianze maisha mengine. Hana akili kabisa

Anapenda pesa kama Bank. Hazipiti week mbili anaomba pesa. Yeye zake anatanua sana maisha. Simu anabadilisha kila mara na vitu vya thamani. Kushindana na wenzie kuwa ana boyfriend tajiri. Mimi siyo tajiri. Nimekuwa tu fala nikidhani atathamini mapenzi yangu.

Now its too much. Aende zake kwa kweli. Inatosha sana.

View attachment 2682796
Sasa wewe umechukua samaki wa mapambo yule wa kupendezesha sebule kwenye kasha la kioo lenye maji unataka kumfanya kitoweo. Unafikiri wanaochukua vibua ni vichaa?

Si kila mwanamke anafaa kwa uhusiano, wengine wameletwa kutuongezea msongo wa mawazo tu.
 
Dah! Hamna mke hapoo, ukisikia kuchunwa ndo hukoo afu ukiendelea nae atakupiga hasara then atakujibu shombooo utatokwa kamasi wiki.Temaa mbona mazii nyingii classic zipo zinambwela tu.
 
Hao kudeal nao simple tu, ila kama mko string attached fuata vile moyo wako unataka.

mwanamke anaekupenda kamwe hawezi kukuomba hela.
 
Back
Top Bottom