Nimemchoka mke wangu natafuta jinsi ya kumpiga chini

Dah, sina cha kukushauri mkuu wangu. Maana nami yalisha nokuta nikaacha mahari yangu ikaliwa hivihivi.

Wazazi funzeni adabu watoto wenu, mnatutia hasara. Ona sasa kijana wa watu anatamani hata kuacha milion zake za mahari. So sad🥲
Kwa ajili ya kutafuta amani ya moyo. Milioni kitu gani?

Nikusepa tu yakikushinda
 
Sijasoma comment zote ila naomba kuuliza, hivi Kuna aliye omba namba ya simu ya mtajwa kwenye thread.
 
Pole mkuu..huyo mkeo atakuwa na vinasaba na mkoa unaopakana na Simiyu
 
umenena mkuu.


yes!!!
 
dawa mbona ndogo tu,zila mbunye yake kwa mda wa mwaka mmoja uone kama atakaa hapo,mwanamke akishajua uzaifu wako atakusumbua sana.kuna jamaa alikuwa anapigwa makofi na mkewe,akii ngia chumbani anakuta mke wake kachanua mbunye nje nje jamaa anabaki kucheka cheka tu unajua mama flani ya ishe anakula mzigo anasepa .k wanaamini uchi wao ni siraha kubwa kwao.izire uone kama atakaa hapo
 
Umefunga ndoa? Hizo sababu hazitoshi kuacha mke. Mke anaachwa tu Kwa sababu nzito nzito. Kama kuchepuka, muuaji, kapata kichaa, mlevi wa kupindukia!

Gubu halitoshi kumuacha mkuu beba mzigo wako
 
Dah, sina cha kukushauri mkuu wangu. Maana nami yalisha nokuta nikaacha mahari yangu ikaliwa hivihivi.

Wazazi funzeni adabu watoto wenu, mnatutia hasara. Ona sasa kijana wa watu anatamani hata kuacha milion zake za mahari. So sad🥲
Mkuu hii imenikuta namimi nipo kwny wakati mgumu sana
 
sambaza namba yake hapa watu wajue cha kufanya shap. unajibaraguza kutaka kuacha mke, wanaoacha huwa wanaaga?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…