David Harvey
JF-Expert Member
- Jul 17, 2014
- 2,894
- 6,020
Nimepata likizo ya kikazi ya siku 28 nikasema ngoja nitumie hii likizo kupima Imani ya mtu ,sasa hii ni wiki ya 3 tangu nilipomwambia wife nimefukuzwa kazi, ndani ya wiki 2 za mwanzo alijifanya kuvumilia hali ananipa moyo ila ugali na dagaa zilivyozidi kutaradadi leo ameamua kufunguka ya rohoni amesema tuachane tu hawezi kula dagaa kila siku.
akafika mbali akajifanya yupo marekani kumbe yupo bongo land akasema nyumba tuuze tugawane maana nilimdanganya kwenye hati nimemuandika yeye na mimi
NB:Huyu ni mke wangu wa pili nimezaa nae mtoto mmoja tu ana miaka 2 ,mke wangu wa kwanza alifariki mwaka 2018 nilizaa nae watoto 3 na hii nyumba nilijenga na marehemu