Nimemfukuza kazi shabiki wa Yanga

Sasa elimu ya kuandika magazeti naitolea wapi?
Hawa waandishi wanajifanya wanajua kuandika. Mbona siku ile ya ufunguzi waliogopa kwenda kumuhoji mzungu wameishia kumuhoji katumbi tu.
Ila humu hata ukikosea A tu wanajaza seva kwa kujifanya wanakulekebisha.
 
Sio lazima, literally they may serve differently on meaning, what did you intend for?
Emotional Intelligence capacity ina maana gani ya pamoja??
lkn ukiweka emotional, intelligence capacity inaleta maana.
Sorry lkn bro
 
Hakika maneno ya Ndugu Rage yanaishi......lkn hii ni zaidi ya Mbumbumbu..

Tarehe 5/11/2023 Jiandae kuifunga kabisa kampuni Yako uchwara au kunywa Sumu ya Panya ujiondoe Duniani....

Maana ni balaaaa

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
Umefanya jambo zuri sana kuiokoa kampuni yako.
 
Sema tu ulichotaka kumaanisha.

Lakini kama umemfukuza kweli. Elewa ulichokifanya hakuna tofauti na ubaguzi wa rangi. Sawa na unyanyasaji wa kijinsia. Sawa na ubaguzi wa kidini.

Najua wewe ni simba lakini lazima uwe na uvumilivu. Mimi nina vijana wawili ofisini kwangu ni simba lia lia,lakini tunabishana tu sana mambo ya mpira tunaishia kwenye mpira. Labda tu ni vile mashabiki wa simba wengi ni wale watoto watoto,wengi akili hazijapevuka,wanajua kushabikia simba tu ndio mwisho wa maisha. Kumbe kuna maisha mengine baada ya pale . Hata humu jamvini ni mashabiki wa simba tu wenye kutukana matusi tu.

Huyo dogo tambua umemuonea. Majibu utayapata tu,inaweza isiwe leo,ni siku nyingine tu ambayo hutaikumbuka
 
Kwa hiyo Mkurugenzi unataka tukutafutie mfanyakazi mwingine, na ambaye ni shabiki wa simba baada ya kumfukuza huyo wa Yanga?

Halafu hiyo Kampuni yako ya usafirishaji inaitwaje? Maana isije ikawa unatupiga fix hapa.
 
Emotional Intelligence capacity ina maana gani ya pamoja??
lkn ukiweka emotional, intelligence capacity inaleta maana.
Sorry lkn bro
Mimi sio mtaalamu sana, anzia kwa ku google uone kama hayo maneno ni tenganifu muda wote ama yaweza kuwa ni noun phrase unganifu, emotion is a word and intelligence is a word so is emotional intelligence as a noun phrase or a phrase
 
Michezo sio uadui, labda Kama wanategea muda wa kazi au wanagombana sababu ya mpira unaweza kuwaonya. Huyu mtu ana familia sidhani Kama unamtendea haki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…