Nimemfukuza kazi shabiki wa Yanga

Hili ni tatizo , wewe mwenyewe mpaka hapo hauko sawa au ni shabiki lia lia wa simba

Ndio kawaida ya watu ambao wanamahaba sanaa na timu za mpira alafu mbaya zaidi mkawa wapinzani lazima umfukuze , because ile furaha yake ya kushinda game inakukera na wewe timu yako ikishinda ile furaha inamkera so lazima mpishane
 
Hakuna boss hapo unapoteza mda wako bure
 


Upo sahihi, maana mtu mwenye uwezo wa kuwa na biashara yake na kuajiri hawezi kuwa mpuuzi kama wewe
 
Wewe ni numbu/kiazi sema ueleweke ulikuwa na mpango wa kumfukuza tu sababu za ukoloe wako.
 
Mbumbumbu bhana wewe mwenyewe ni jobless umuajiri nani?
 
Brother umeanza kumiliki offis lini, we sindiyo yule uliekuja PM yangu juzi tu hapa, nikusaidie kukupeleka kwa mganga upate kazi!!
Wabongo kwa sifa, nawakubali.
 
Kwa uzi huu, tatizo kubwa ni wewe. Saa nyingine shida hazina adabu, ila kuajiriwa na mtu mwenye ajili za hivi tatizo.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Mimi sio mtaalamu sana, anzia kwa ku google uone kama hayo maneno ni tenganifu muda wote ama yaweza kuwa ni noun phrase unganifu, emotion is a word and intelligence is a word so is emotional intelligence as a noun phrase or a phrase
Nachangamsha tu uzi wako, ulieleweka bro
 
Utoto raha sana...
 
Tupatie jina la kampuni yako na sisi mashabiki wa yanga tuikwepe kufanya nayo biashara sababu bosi wake ni kichaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…