Nimemfukuza kazi shabiki wa Yanga

Mtu yeyote hata awe na elimu gani awe injinia,daktari,mwalimu, nk ila linapokuja suala la yanga tu anakuwa kama Charlie Champlin[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Akili zinafyatuka ghafla,
 
Umemfuta kazi kibarua,.... huna uwezo wa kumfukuza kazi mwajiriwa.
 
Mtu yeyote hata awe na elimu gani awe injinia,daktari,mwalimu, nk ila linapokuja suala la yanga tu anakuwa kama Charlie Champlin[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Akili zinafyatuka ghafla,
inakuuma nini si ubaki na u genius wako
 
😆😆
 
Umeniudhi sana.Ungemkandika na makwenzi kabla ya kumfurusha.Huwa hawana akili hao.
 
Kama Kuna watu wameajiriwa na wewe basi ni viazi Kama wewe!
 
Hapo mjingamjinga ni wewe umeshindwa itifautisha kazi na ushabiki
 
Niliwahi sema ukiona mtu mnazi sana wa Simba na Yanga, muda wote anaongelea Yanga na Simba jua kichwani kuna mapungufu. Umefanya vizuri kabla madhara zaidi hayajatokea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…