Nimemfuma mke wangu akimfunda jirani/maarufu kama shoga yake kuchepuka

Ukiskia kipa anafungisha ndo huyu sasa, hakuna amani kuwa na mke kama huyu. Ila jambo moja ambalo huyu mwanamke ameshindwa kuligundua ni kwamba huyo anaemuona ni sunshine kamwe sio suluhusho lake kwakuwa huyo amekuja kuchapa ilale tu, hata kama atakuwepo for a year or two he is not there to stay.

Hakuna mwanaume atakayeendelea kukupenda siku zote isipokuwa mumeo, hasa yule mumeo mliyetoka nae kwenye ujana pamoja, athari ya mapenzi yenu ya ujanani inabakia na nguvu siku zote (ndo maana wazee wenye busara wanashauri uchunge sana kuoa mwanamke aliyeachika ikiwa mumewe bado yupo hai).

Pili, wanawake wanapaswa waelewe kuwa kadri mwanaume anavyokuwa na mke zaidi ya mmoja ndo sexual interest yake inavyoongezeka juu yenu. Chagueni moja, aoe mke wa pili ama achepuke ... ila tambua kuwa usijitusu kulipiza hata kama ukigundua mumeo anachepuka, mwanamke akichepuka effect yake ni almost irreversible.

Wanaume tumeumbwa kuwa na mke zaidi ya mmoja, huo ndo ukweli na hiyo ndo salama ya ndoa zetu.
 
Usikute wewe ni mmoja wa hivyo vidumu mikononi wakati wajiona ndio ndoo kichwani...
Hahahha halafu nimetoka kuandika hiki kitu hata kabla sijasoma. Tumewaza sawa🤣
 
Ukute kwenye hivo vidumu viwili wewe ni kimoja wapo. Najua ulidhani yawezekana wewe ndio ndoo ila hapana wewe ni kidumu kimojawapo.
Inahuzunisha sana ukute bidada alikua anasaidia mpk kununua bati wkt unajenga ukajua mwenzangu nihela zavikoba
 

Pole sana, Ushauri:

1. Wanamla 100%
2. Usitake kujua au kuthibitisha.
3. Weigh your options.
4. Ukiona unapenda ndoa then muulize.
5. Ila, nashauri jipange tu kuachana naye.
6. Mtazamo wake Hauwezi ubadili.
 
Wanasema, kama haujamfumania laivu, unapotezea tu ili ndo yenu idumu. Kikubwa unakuwa unapima mara kwa mara ili asije kukuletea ngoma mana wanawake huwa wanagongwa bila hata kondomu ndio wanapenda
 

View: https://youtu.be/mzQ-K56cCDc?si=GviULArnQctB9JVp
 
Kihelehele Cha Nini kuwahi kuingia ndani?

Ona Sasa kataa ndoa wamekosa funzo hapo dadeki.

Ndiyo maana unaitwa ndoo ya Maji😀😀😀😀

Siyo vizuri kumuita mwenzako Junior Lecturer ndoo ya maji. Hapo alipo anapitia maumivu makali sana ya moyoni.
 
Mleta mada sio kwamba aliwahi kuingia, aliyoyasikia ni mengi akaona bora ayakatishe. Maana walipokuwa wanaendelea alihisi atasikia siri ya mtoto mmojawapo sik wake.
Hapa amekatisha tu story
Mkuu pole wewe ni dhaifu sana
 
Hapo sasa mtihani, ila tukija kwako pia

Kwa hiyo mzee ndio kusema hucheat kabisaaaaaa

Au ndio vile tena wasemavyo waswahili

Mosi, Nyani haoni...... na pili, Mkuki kwa nguruwe . . .
Wewe ukichepuka unamruhusu na mkeo achepuke kweli mkuu?
 
🤣🤣🤣sicheki kama mazuri lah, hizo ndio ndoa sasa hizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…