Ukiskia kipa anafungisha ndo huyu sasa, hakuna amani kuwa na mke kama huyu. Ila jambo moja ambalo huyu mwanamke ameshindwa kuligundua ni kwamba huyo anaemuona ni sunshine kamwe sio suluhusho lake kwakuwa huyo amekuja kuchapa ilale tu, hata kama atakuwepo for a year or two he is not there to stay.
Hakuna mwanaume atakayeendelea kukupenda siku zote isipokuwa mumeo, hasa yule mumeo mliyetoka nae kwenye ujana pamoja, athari ya mapenzi yenu ya ujanani inabakia na nguvu siku zote (ndo maana wazee wenye busara wanashauri uchunge sana kuoa mwanamke aliyeachika ikiwa mumewe bado yupo hai).
Pili, wanawake wanapaswa waelewe kuwa kadri mwanaume anavyokuwa na mke zaidi ya mmoja ndo sexual interest yake inavyoongezeka juu yenu. Chagueni moja, aoe mke wa pili ama achepuke ... ila tambua kuwa usijitusu kulipiza hata kama ukigundua mumeo anachepuka, mwanamke akichepuka effect yake ni almost irreversible.
Wanaume tumeumbwa kuwa na mke zaidi ya mmoja, huo ndo ukweli na hiyo ndo salama ya ndoa zetu.