Nimemfumania rasmi mke wa jirani yangu akiliwa na bosi wake kwa mara ya pili

sauti ataijua labda ninunue line alafu nimpe mtu amweleze au nitumie sms
Taabu yote hiyo ya nini mkuu? Piga kimya, wewe mwenyewe una uhakika gani kuwa mkeo (kama umeoa) ni mwaminifu??!! Usithubutu kusema.. Tuliza mzuka.
 
Ki ukweli hii ni story ya kutunga ila inaukweli ndani yake wanandoa uaminifu ni mdogo sana. Wote wanaume na wanawake sijajua tatizo ni kuzoeana au? inabidi kujitafakari upya
 
Kwa hiyo umeamua umwambie bro wako kupitia JF? we uko smart sana.maana bro anapendaga mitandao hivyo unajua lazima atapitia hapa.ila tegemea bro atakudharau pia hujaweza mwambia face to face

Kuhusu huyo mwanamke, akijua kwamba kukipoteza wewe itasaidia kuimatisha siri yake.basi jiandae kuwekwa kwa sandarusi halafu ukatupwa baraharini au mto Ruvu.

Kuhusu hiyo kazi kitoka kwa bosi, ulijua kulikuwana kazi ya ukweli au ulikiwa mtego flan? Mana yake wewe umekiwa kimbeya flan hivi ulitakiwa kudhibitiwa usije haribu utamu wake in future
 
Kuna wakati ukweli unatakiwa kusemwa hata kama unaumiza, ila unapaswa kuangalia kwa kina. Je, ingekuwa ni Kakako umemfuma ungesema????

Sasa fanya venye moyoo wako unaona
 
Hebu toa mrejesho hapa maana nahisi kipengele kinachofuata ni wewe nawe kupoozwa na kipochi manyoya kama bosi...

....shemeji yangu alikuwa na aibu kuniangaliaq usoni , ila leo kapiga simu eti ana mazungumzo na mimi kabla sijaongea chochote na mme wake
 
Sasa kwa maelezo haya si umeishamtaja kabisa na wahusika wote, make, mume, na mwizi wote wakisoma maelezo hayo hapo juu atajua
 
Watu hawana jema ndugu yangu
Unaweza sema ukwer alaf bhado wakawa pamoja unadhan utaonekanaje
cha kufanya
hakuna malef bila ncha......yatakua wazí

Sent using Jamii Forums mobile app
Na hayo hutokea aise.

Kuna jamaa mmoja alihisi wife wake anatafunwa, akafanya utafiti mpaka akajiridhisha...akamfuata yule jamaa akataka waapizane kwamba asitembee tena na mkewe..jamaa akamkubalia, akaomba msamaha wakayamaliza...Mke hakuguswa wala nini.

Sasa sijui anajiridhishaje kuwa hawaendelei.

Jamaa akikusimulia unamuonea huruma, na hata kumshauri unashindwa.
 
Isee hiyo ilisha nikuta hata Mimi kuna wazee walikua nimarafiki zangu mmoja mjanja akawa anamkaza Mke wa mwinzie sasa akawa anamuita bar ambayo hata Huyo mzee anae kaziwa hua anakuja basis mile kitendo cha kukaa sisi wa tatu na mke wa yule mzee tumbo lilikua linaniuma mimi nikawa nawaza kama wwe huyu mzee mwingine akijua itakuaje.maana alikua poa halafu nilikua namheshimu sana maana ni kama mzee wangu kwa umri Nilikua na kaa na hofu hata bia haishuki vizuri kikubwa we kausha Hugo Dada kaanae mbali asikuzoee


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo mwanamke Mungu anamuona, mtu kujipinda kote kumsaidia hayo ndio malipo yake!??

Mpe tahadhari huyo kaka yako awe makini na mienendo ya mwanamke wake..
Zikija nyuzi hapa za waume wa watu kutafuna mahousegirl mnapongezana kweli ila Ikiwa vice versa inawauma[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwel mkuki kwa nguruwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
na wew utahongwa kipapa utulize kichwa chako cha chini mana na UDERE unakutoka Nuktaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…