Nimemfumania rasmi mke wa jirani yangu akiliwa na bosi wake kwa mara ya pili

Nimemfumania rasmi mke wa jirani yangu akiliwa na bosi wake kwa mara ya pili

sauti ataijua labda ninunue line alafu nimpe mtu amweleze au nitumie sms
Taabu yote hiyo ya nini mkuu? Piga kimya, wewe mwenyewe una uhakika gani kuwa mkeo (kama umeoa) ni mwaminifu??!! Usithubutu kusema.. Tuliza mzuka.
 
Ki ukweli hii ni story ya kutunga ila inaukweli ndani yake wanandoa uaminifu ni mdogo sana. Wote wanaume na wanawake sijajua tatizo ni kuzoeana au? inabidi kujitafakari upya
 
Kwa hiyo umeamua umwambie bro wako kupitia JF? we uko smart sana.maana bro anapendaga mitandao hivyo unajua lazima atapitia hapa.ila tegemea bro atakudharau pia hujaweza mwambia face to face

Kuhusu huyo mwanamke, akijua kwamba kukipoteza wewe itasaidia kuimatisha siri yake.basi jiandae kuwekwa kwa sandarusi halafu ukatupwa baraharini au mto Ruvu.

Kuhusu hiyo kazi kitoka kwa bosi, ulijua kulikuwana kazi ya ukweli au ulikiwa mtego flan? Mana yake wewe umekiwa kimbeya flan hivi ulitakiwa kudhibitiwa usije haribu utamu wake in future
 
Kuna wakati ukweli unatakiwa kusemwa hata kama unaumiza, ila unapaswa kuangalia kwa kina. Je, ingekuwa ni Kakako umemfuma ungesema????

Sasa fanya venye moyoo wako unaona
 
Hebu toa mrejesho hapa maana nahisi kipengele kinachofuata ni wewe nawe kupoozwa na kipochi manyoya kama bosi...

....shemeji yangu alikuwa na aibu kuniangaliaq usoni , ila leo kapiga simu eti ana mazungumzo na mimi kabla sijaongea chochote na mme wake
 
Sasa kwa maelezo haya si umeishamtaja kabisa na wahusika wote, make, mume, na mwizi wote wakisoma maelezo hayo hapo juu atajua
 
Watu hawana jema ndugu yangu
Unaweza sema ukwer alaf bhado wakawa pamoja unadhan utaonekanaje
cha kufanya
hakuna malef bila ncha......yatakua wazí

Sent using Jamii Forums mobile app
Na hayo hutokea aise.

Kuna jamaa mmoja alihisi wife wake anatafunwa, akafanya utafiti mpaka akajiridhisha...akamfuata yule jamaa akataka waapizane kwamba asitembee tena na mkewe..jamaa akamkubalia, akaomba msamaha wakayamaliza...Mke hakuguswa wala nini.

Sasa sijui anajiridhishaje kuwa hawaendelei.

Jamaa akikusimulia unamuonea huruma, na hata kumshauri unashindwa.
 
nduguu zangu aisee unaweza kukata tamaa mke wako asifanye kazi yeyote abaki nyumbani tu,

mi nakaa mitaa flani wanapobomoa bomoa uku dsm, kuna jirani yangu anafanya kazi uhamiaji na ni mtu mzito kweli pale, huyu kaka namuita ndugu japo si damu moja, lakin kanisaidia sana maishani,
alioa mwanamke ambaye kwa kipindi anaolewa alikuwa kamaliza SUA, kumbe alipomaliza shule akaanza kusambaza cv alikutana na vikwazo kibao hasa ikiwemo bosi kutaka malipo ya mrabaha
,
siku moja nikaenda maeneo ya mwenge maana ndo anafanyia kazi huyo mwanamke sitataja ofisi, nikaingia hotelin pale maana nilikuwa na wageni nikafika pale nikakutana na huyun shemeji yangu anatoka pale hotelin akiwa na mwanaume, baada ya kuniona alishtuka sana , akanitambulisha kuwa yule ni boss wake, na akamwambia bossi kuwa mi jrani yake, nikajua kuna linaloendelea , kwa bahati nzuri sikumwambia mme wake yaan kaka yangu huyo, siku ilofuata shemeji akanifuata akaniambia kama kuna lolote nili notice nikaushe maana huyo ndo bossi wake na anaweza kumfukuza angemkatalia kukutana naye pale ila alisema kuwa hawakufanya jambo ilikuwa ni mazungumzo tu, ok

sasa huyu mme wake wakapata safari kikazi kwenda ------ walikaa miezi kadhaa, katika mizunguko yangu ofisi za manispaa nikakutana na yule bosi tena akanikumbuka , tukaongea sana ila sikuuliza chochote juu ya shemeji yangu,
akauliza nafanya kazi gani tukatambulishana, ikaonekana kumbe kazi yangu ningeweza kumsaidia jambo pale ofisini akasema atanipigia one day,

tukapanga kwamba shughuli yake ningeifanya weekend maana ndo nilikuwa free akasema nami nakuwa free utakuja tukapanga jumamosi jion.maana alisema kama si jumamosi basi jumapili, nikaamua kwenda jumapili nikijua ntamkuta tu maana alikuwa free hadi jumapili, nikafika nikakuta ofisi imefungwa lakin mlinzi akanambia labda nimsubirie kwenye benchi ya pale nje, maana atakuwa ofisi nyingineyo miongoni mwa ofis za ndani, nikapiga simu imezimwa nikasema ngoja nimsubiri, lakin nikaenda msalani , wakati naenda nikaona kama tobo fulani unaweza ona ndani alafu kama vile kuna mtu, nikaamua kuchungulia, mwanamke sikuweza kumtambua haraka maana alikuwa kakaa mezani katoa nguo za chini kaamuangalia mwanaume aliyeshusha suruali kidogo, kama ka mlegezo fulani hivi, alafu mwanamke anafanya action ya kujisukumiza kwa mwanume , niliishiwa mood nikasema na hivi ni weekend ngoja naichek hii movie, nikasikia kama mtu anakuja msalani nikatoka haraka nikarudi kwenye seat ile, baadae naona mlango unafunguliwa kidogo kidogo kama wanachungulia, eee kuangalia ni mke wa jiran yangu, kaka yangu ,rafiki yangu,

tokea jumapili mpaka now najiuliza inakuiwaje, tena mi ndo nimemfuata kaka airpot leo kafika , ila sikumwabia kitu, ila nadhani kahisi jambo maana kama vile sikuwa sawa,

mimi sijui nimwambie sijui niwaache?
maana huyu mwanaume ndo alikuwa anamsapoti ata kwenye ada SUA, kamlipia mama yake alikuwa na kesi kidogo nyumba yake iuzwe , kamlipia million 7 na kumaliza kesi, anasaidia wadogo zake mke wake, lakini haridhiki,

shemeji yangu alikuwa na aibu kuniangaliaq usoni , ila leo kapiga simu eti ana mazungumzo na mimi kabla sijaongea chochote na mme wake,

kwakweli nahisi huyu kaka akija kujua nilijua nikamficha itakuwa shida, maana ipo siku mwanamke anaweza fanya jambo akawekwa mtu kati akasema nisamehe hata shemeji ..... anajua alitukuta,

lakini nahisi ikimshauri ntavunja ndoa,
Isee hiyo ilisha nikuta hata Mimi kuna wazee walikua nimarafiki zangu mmoja mjanja akawa anamkaza Mke wa mwinzie sasa akawa anamuita bar ambayo hata Huyo mzee anae kaziwa hua anakuja basis mile kitendo cha kukaa sisi wa tatu na mke wa yule mzee tumbo lilikua linaniuma mimi nikawa nawaza kama wwe huyu mzee mwingine akijua itakuaje.maana alikua poa halafu nilikua namheshimu sana maana ni kama mzee wangu kwa umri Nilikua na kaa na hofu hata bia haishuki vizuri kikubwa we kausha Hugo Dada kaanae mbali asikuzoee
Kwa hiyo umeamua umwambie bro wako kupitia JF? we uko smart sana.maana bro anapendaga mitandao hivyo unajua lazima atapitia hapa.ila tegemea bro atakudharau pia hujaweza mwambia face to face

Kuhusu huyo mwanamke, akijua kwamba kukipoteza wewe itasaidia kuimatisha siri yake.basi jiandae kuwekwa kwa sandarusi halafu ukatupwa baraharini au mto Ruvu.

Kuhusu hiyo kazi kitoka kwa bosi, ulijua kulikuwana kazi ya ukweli au ulikiwa mtego flan? Mana yake wewe umekiwa kimbeya flan hivi ulitakiwa kudhibitiwa usije haribu utamu wake in future


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo mwanamke Mungu anamuona, mtu kujipinda kote kumsaidia hayo ndio malipo yake!??

Mpe tahadhari huyo kaka yako awe makini na mienendo ya mwanamke wake..
Zikija nyuzi hapa za waume wa watu kutafuna mahousegirl mnapongezana kweli ila Ikiwa vice versa inawauma[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwel mkuki kwa nguruwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
na wew utahongwa kipapa utulize kichwa chako cha chini mana na UDERE unakutoka Nuktaaaa
 
Back
Top Bottom