Nimemfumania zaidi ya mara tatu na kusamehe, nimemuambia kumuoa anakataa

Sijui wewe ni tajiri wa nini, ila nina uhakika wewe ni masikini wa akili...
Huna utajiri wa akili kabisaaa.
 
Yule wa kwanza ndo chaguo lake, wewe umeingia kati kama spare Tyre. Achana naye endelea na mambo yako.
 
Mwanamke anarudije kwako kwa lazima.?? Wewe ni zaidi ya bwege mtozeni
 
Hahaha ndo maana nchi yetu Bado Ina shida nying kumbe wajinga pia ni wengi, ama umerogwa jamaa yaani mi ninaona hiii ni comedy tu unafanya
 
Ujinga nacho ni kipaji..! Vijana kama wewe mna mchango ndogo sana katika taifa.. JPM Proverb
 
Hata Ambyulensi inalia huku inaondoka. Ajabu we umeganda tuuh.
 
Mama yako kakuzaa kwa uchungu ili uje uteswe na mjinga mmoja?
Kama wewe haujithamini basi thamini ya kuwa ulizaliwa haujaota kama mahindi.
 
Kwa akili hizi ndo sababu hua una tete upuuzi jukwaa la siasa
 
Dah mkuu Mimi namtegea nimfumanie Ili nimwache maana wewe unabembeleza tumia akili Yako vzr
 
Una ndugu?

Wanayaona haya mapito?

Wanakushauri nini?
 
Halafu linatokea jitu linakushupalia eti hakuna uchawi!

Haya ni mambo yanayofanywa na mtu aliyerogwa!

(Mama E. usisome hii na hata ukisoma just ignore. Shwaini zako ushaniroga wewe!)
 
Mkuu hawez kutulia kama ww haumfanyi kinyume na maumbile.
 
Aisee tafuta bwana uolewe utulie tu huku kiumeni tumekukataa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…