toughlendon_1
JF-Expert Member
- Feb 7, 2018
- 6,283
- 11,253
Bro nenda kamwone daktari ugonjwa wa utahira umekuwa ukikusumbua muda mrefu sasa, take this serious kaka utapotea…
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inabidi sua wafanye utafitiHivi kwanin??
Sio vizuri hivyo, mumshauri mwenzenu😀Mada kama hizi siwezagi hata kufungua, sema nini Login Kwa ID yangu uwe unajibu
Ndo nimekwambia ww ulogin Kwa ID yangu toa ushauriSio vizuri hivyo, mumshauri mwenzenu😀
Duh we jamaa Uko sawa kweli inawezekana hata huyo mtoto Ünalea sio wako huyo mwanamke anakutumia tuNimemfumania zaidi ya mara 3 na kumsamehe. Tuna mtoto mmoja, lakini bado hataki nimuoe.
Nina miaka 37 na niko kwenye mahusiano na huyu dada kwa miaka 12 sasa. Yeye ana miaka 35, ni mwanamke ambaye nampenda sana, lakini katika kipindi chote cha mahusiano nimepitia mambo mengi sana kiasi kwamba nimefika mahali nimeshakatishwa tamaa. Kipindi tulipoanza mahusiano nilimkuta akiwa na mwanaume mwingine, alikuwa akim*piga sana na kumdhalilisha, na mara nyingi alikuwa akimfanyia vitendo vya ajabu hadi kumuingilia kinyume na maumbile.
Kipindi hicho, alikuwa rafiki yangu, alikuwa ananiambia kila kitu. Nilimuonea huruma nikaingia naye kwenye mahusiano, nikamsaidia hadi akaachana na yule mwanaume na tukawa tuko vizuri. Baada ya mwaka mmoja, kuna siku yule mwanaume alinipigia simu na kuniambia nimwache mwanamke wake, alinidhihaki sana na kibaya zaidi alikuwa anatumia simu ya mwanamke wangu. Alimpa simu mwanamke wangu na akaniambia hanitaki tena kashaniacha.
Niliumizwa sana lakini baada ya mwezi mmoja alinitafuta na kuniomba msamaha akisema haitajirudia tena. Alidai kuwa alikutana na mwanaume huyo akampa lifti na wakajikuta wameanza tena mapenzi. Nilimsamehe na tukakaa kwenye mahusiano kwa miaka miwili hadi nilipokuja kumfumania na mwanaume mwingine. Huyu mwanaume alikuwa baba mtu mzima na nilimfumania mpenzi wangu akimtumia picha za uchi, akijichezea. Nilipomuuliza aliniambia ni tamaa tu na kwamba yule baba hana nguvu yoyote ya kumkufanya chochote, ana kisukari. Nilimwambia sipendi, nikamuacha lakini baadae akaja kunambia kuwa ana mimba yangu.
Kweli tulipima na ikathibitika kuwa ana mimba. Nilidhani kuwa akizaa atabadilika, hivyo nilimsamehe tukaanza upya. Hata hivyo, mambo yalikuwa mabaya kipindi cha ujauzito, alikuwa hanitaki, ananiomba pesa lakini hataki tuonane. Hadi mtoto alipofikisha miaka miwili, alikuwa haruhusu hata nimwone mwanangu. Nilienda kwao na kuongea na mama yake, wakamkalisisha kikao, akaniruhusu kumuona mtoto, lakini maisha yaliendelea vilevile. Nilimwambia kuwa tuna mtoto, kwa nini tusifunge ndoa, akanijibu kuwa umri bado.
Baadaye nilikuja kugundua kuwa amerudiana na X wake ambaye sasa ni mume wa mtu na niligundua baada ya mke wa huyo mwanaume kunitafuta na kunitumia ushahidi wa picha zao wakifanya mapenzi na meseji wanazochat. Nilipomwambia akaanza kunitukana sana, akaniambia hanitaki tulee mtoto na mambo ya mapenzi basi. Wakati huo nilikubali kwani na mimi nilikuwa tayari nimeshaingia kwenye mahusiano mengine.
Nilipata mwanamke mwingine ambaye alikuwa ananijali, ananionyesha upendo na alikuwa kila kitu kwangu. Nilienda kwao kujitambulisha, nikatoa mahari lakini X wangu aliposikia nataka kuoa, alimtafuta huyo mwanamke na kum*tukana sana akimwambia huyo ni mume wangu. Alirudi kwangu kwa lazima, akahamishia vitu vyake mpaka sasa tunaishi pamoja.
Ni miezi 9 sasa, nililazimika kumwacha yule mchumba wangu lakini tatizo ni kuwa huyu mwanamke kila nikimwambia kuhusu ndoa ananiambia bado. Umri umeenda, sijui nifanye nini. Je, ni mtu anayenipenda kweli au? Miezi 9 hii sijawahi kumfumania tena ila suala la ndoa ndio hataki, naomba ushauri wako!
Dogo, nini hasa lengo lako kuandika uzi huu!!Nimemfumania zaidi ya mara 3 na kumsamehe. Tuna mtoto mmoja, lakini bado hataki nimuoe.

Hahaha vungaStory za idd makengo za kule fb
wewe ke siyo meNimemfumania zaidi ya mara 3 na kumsamehe. Tuna mtoto mmoja, lakini bado hataki nimuoe.

Huenda wewe ni miongoni mwa wanaume wapumbavu zaidi katika mahusiano.Nimemfumania zaidi ya mara 3 na kumsamehe. Tuna mtoto mmoja, lakini bado hataki nimuoe.

Kumfumania mara tatu maana yake hakupendi. Usilazimishe ndoaNimemfumania zaidi ya mara 3 na kumsamehe. Tuna mtoto mmoja, lakini bado hataki nimuoe.

Huyu ni mpumbavu halafu alivyomuongo kila mara anabadiri umri wakeBro nenda kamwone daktari ugonjwa wa utahira umekuwa ukikusumbua muda mrefu sasa, take this serious kaka utapotea…
Basi amezoea huu mchezo, ili akubali kufunga ndoa zingatia kula👇na mara nyingi alikuwa akimfanyia vitendo vya ajabu hadi kumuingilia kinyume na maumbile.
Hizi nyuzi za namna hii zimeongezeka sana humu, sasa sijui ni kweli hawa binadamu wanayapitia haya au ndo wameigeuza njia ya kuingilia humu jukwaaniNimemfumania zaidi ya mara 3 na kumsamehe. Tuna mtoto mmoja, lakini bado hataki nimuoe.