Nimemfumania zaidi ya mara tatu na kusamehe, nimemuambia kumuoa anakataa

Yule wa kwanza ndo chaguo lake, wewe umeingia kati kama spare Tyre. Achana naye endelea na mambo yako.
Hapana tatizo yule wa kwanza alishamuazisha tabia ya kuzibua mifereji ya maji machafu na mwamba hafanyi hivo
 
Kama hii Stori ni ya kweli ndugu yetu unahitaji Kozi nzito ya kukufungua ufahamu ili ujue Kwa nini uliumbwa Mwanaume.
 
Shame on you 🤣🤣🤣
 
Tayari ....tayari....! umekwisha fail..
 
hataki kuolewa kwa sababu ana uhakika yupo na wewe unamfuga huku akitafuta mtu wa ndoto zake.
 
Nimesoma kichwa cha uzi tu hata habari sikutaka kusoma. Nika conclude kwamba hapo mwanaume ni kiazi mbatata. Nani alikwambia kosa la mwanamke ku cheat linasamehewa. Alaf wew umesamehe mara tatu. Shuubaaamit
 
Aisee kuna watu wanajua kupendaaaa.kaka wewe mbinguni moja kwa moja maana kauli ya upendo huvimila yote,upendo hauhesabu mabaya umeushilikia Hadi mwisho.
Kuna mtu aliniambia wanawake malayaaaa ndo huwa wanapata watu WA kuwapenda kweli.ila mficha uchi hazai.mwanamke ukiwa decent Sana mapenzi yatakutesa.
Au k inayotumika Sana inakuwa tamu zaidi nini?
Maana ukute hii kugegedwa kwa mwaka mara mbili inafanya k kuchacha ..ndo maana wanawake walotulia wanaume hawatulii nao
 
Yaani wewe unapaswa kupigwa mabomu kabisa siyo tu viboko

Huyo mtoto kwanza hakuna uhakika kama ni wa kwako

Huyo siyo mke wewe ni nice boy endekea kuchakazwa akili mu kichwa
 
Hivi kwanin??
 
Naamini ni hadithi tu ukiwa na lengo la kuburudisha wanajukwaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…