Nimemfumania zaidi ya mara tatu na kusamehe, nimemuambia kumuoa anakataa

Bro nenda kamwone daktari ugonjwa wa utahira umekuwa ukikusumbua muda mrefu sasa, take this serious kaka utapotea…
 
Duh we jamaa Uko sawa kweli inawezekana hata huyo mtoto Ünalea sio wako huyo mwanamke anakutumia tu
 
Dogo, nini hasa lengo lako kuandika uzi huu!!
1. Tukushauri
2. Tumshauri huyo hawara yako au
3. Tufanyeje
 
Kumekuchaaaaa!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ww n mwanaume, jitambue na ujithamini kwa kuwa na mipango thabiti katika maisha. Ukisha achana na mtu kamwe usirudiane nae, because you are letting the same snake bite you twice.
 
Ndo mana mnajinyongaga, mtu hakutaki unamtaka unahisi umemfumania ila mwenzako alikua anakuonyesha live hakutaki ujiongeze na wewe hujiongezi.

Tulia sasa atakubali umuoe na watoto utalea wa wenzio, atapewa mimba huko utalea wewe katika watoto wa 5 ataokuzalia Last born ndio atakua wako.

Nakupa hiyo
 
wewe ke siyo me
 
Kuna binadamu piga uwa hawezi kuacha ngono
Nafikiri huyu ni mmoja wa wanaopenda kubadili badili na haridhiki na mtu mmoja
Anashindwa kukuambia ya kuwa hata ukimuoa hawezi kuacha hayo mambo

Don't waste your time
Ushauri mkipenda na mkipendwa jaribu kuomba arusi na akikataa basi unapiga chini
Hii tabia ya kuishi na mwanamke miaka 10 bila ndoa ni hatari kwa afya zenu
 
Huenda wewe ni miongoni mwa wanaume wapumbavu zaidi katika mahusiano.
Yaani Mungu anajaribu kukuepusha na kila kitu lakini bado unalazimisha kwenda kuangamia.

Endelea tu, tutakuja kukuzika na kuandika RIP.
 
Kumfumania mara tatu maana yake hakupendi. Usilazimishe ndoa
 
Mkuu pamoja na matukio yote hayo bado unataka ndoa?

Kabla sijasema hii chai nataka nikuulize we ni Tajiri wa matajiri kweli au umejiita ili utudhalilishe matajiri wenzio?
 
Hizi nyuzi za namna hii zimeongezeka sana humu, sasa sijui ni kweli hawa binadamu wanayapitia haya au ndo wameigeuza njia ya kuingilia humu jukwaani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…