Marco Seth
JF-Expert Member
- Oct 21, 2022
- 5,373
- 6,904
Mshauri wangu Xi Jinping
Karibu kwenye NDOA mdau! 😆😅😂🤣Leo nimeamini wanawake Ni viumbe tofauti sana na sisi.
Yaani nimemfungulia kabishara kadogo tu kakuingiza lak1 kwa mwezi ila sasa naona jeuri ishaongezeka.
Mfano nikiwa nimemuuzia bidhaa nikakapunguza hata buku (kwa wateja wangu wa zamani) Ugomvi uo maneno
Nikiazima hela yake kama nina emergence Yaan maneno ugomvi afu tuvitu twenyewe tudogo sana. Siyo kwamba simpi nampa kwasababu hela ninayo ila nikichelewesha tu.
Hapo hapo anasahau kua mtaji ni wangu,Wateja wote 90% ni wangu nimemuachia kifupi kalibia kila kitu ni changu.
NIMEJIFUNZA KAMA HUYU BIASHARA IKIKUA ANAWEZA ASINITAKE TENA AKATAKA AWE NA MAISHA YAKE
je mwanamke dawa yake usimuwezeshe kiuchumi au?? maana mi nilijifanya nina mindset ya kisomi
Hakika mdau. Mifano ipo kedekede! Tatizo letu na langu pia, 💗 pale tulipotoka mkuu!
Simple fact:
Ukishamwezesha mwanamke mkawa sawa guess what's next?
She will look out for a man above her and you
Na dharau na disrespect huanzia hapo
Keep this on mind women are always opportunists
Hakikisha mke wako unamwajiri kwenye miradi yako asiwe business partner hakikisha asiwe na ile kauli ya kusema huu mradi au biashara yetu
Hahah,mindset ya kisomi...aisee pole mkuu, mwanamke inabidi umzidi kila kitu ndio atatulia..Leo nimeamini wanawake Ni viumbe tofauti sana na sisi.
Yaani nimemfungulia kabishara kadogo tu kakuingiza lak1 kwa mwezi ila sasa naona jeuri ishaongezeka.
Mfano nikiwa nimemuuzia bidhaa nikakapunguza hata buku (kwa wateja wangu wa zamani) Ugomvi uo maneno
Nikiazima hela yake kama nina emergence Yaan maneno ugomvi afu tuvitu twenyewe tudogo sana. Siyo kwamba simpi nampa kwasababu hela ninayo ila nikichelewesha tu.
Hapo hapo anasahau kua mtaji ni wangu,Wateja wote 90% ni wangu nimemuachia kifupi kalibia kila kitu ni changu.
NIMEJIFUNZA KAMA HUYU BIASHARA IKIKUA ANAWEZA ASINITAKE TENA AKATAKA AWE NA MAISHA YAKE
je mwanamke dawa yake usimuwezeshe kiuchumi au?? maana mi nilijifanya nina mindset ya kisomi
Hapo ni matunda tu, hawa wakae tu nyumbani...hahah🤣🤣🤣🤣 nimekumbuka wanangu wawili waliwapa mtaji wake zao kujumua matunda mjini kupeleka pembeni kidogo ya mji, baada ya wiki tu walilia sana.
Tupo pamoja, hawa watu sio wa kuwategemea kujimaliza ni kuishi nao kwa tahadhari. Akileta nongwa asepe muda wa kuita watu vikao kujaza watu eti kutafuta suluhu asee mimi mapenzi hayo sina kabisaIlishawahi kunikuta hiyo, baishara ikawa tamu nikakodi mpaka stoo ya mizigo kwa ajili ya bidhaa. Baadae nikanasa kadi ya benki nisiyoitambua, baadae jeuri zikaanza.
Nikaamua kumweka kando, alikuwa akinitafuta kila mara na sikutaka tena usumbufu.
Nilichogundua wanawake wengi wanafosi kuwa watiifu kwa waume zao kwa kuwa tu hawana njia mbadala wa kiuchumi.
Mimi mwanamke na mthamini tu kwa kuwa ananilelea familia yangu ila sina expectations kubwa sana kwake, anytime akitaka kuleta shida the door is open, sitaki ndoa ya maigizo mimi.
Hawana kabisa mkuu wenzetu zamani ndo walipata wanawake na bado wengine hao hao mama zetu wakaja kuathiriwa na utandawazi baadhi ya baba zetu wakakutana na chamtema kuni. Hawa tunaoishi nao sisi ndo kabisaa inabidi uwe na limitations nyingi sana ukijikuta Nice hutoboiHahah,mindset ya kisomi...aisee pole mkuu, mwanamke inabidi umzidi kila kitu ndio atatulia..
Naoa mwaka huu, huyu nataka asiwe na kazi wala biashara..
Hawana akili hawa watu
Acha wivu mke mbona yupo sahihiLeo nimeamini wanawake Ni viumbe tofauti sana na sisi.
Yaani nimemfungulia kabishara kadogo tu kakuingiza lak1 kwa mwezi ila sasa naona jeuri ishaongezeka.
Mfano nikiwa nimemuuzia bidhaa nikakapunguza hata buku (kwa wateja wangu wa zamani) Ugomvi uo maneno
Nikiazima hela yake kama nina emergence Yaan maneno ugomvi afu tuvitu twenyewe tudogo sana. Siyo kwamba simpi nampa kwasababu hela ninayo ila nikichelewesha tu.
Hapo hapo anasahau kua mtaji ni wangu,Wateja wote 90% ni wangu nimemuachia kifupi kalibia kila kitu ni changu.
NIMEJIFUNZA KAMA HUYU BIASHARA IKIKUA ANAWEZA ASINITAKE TENA AKATAKA AWE NA MAISHA YAKE
je mwanamke dawa yake usimuwezeshe kiuchumi au?? maana mi nilijifanya nina mindset ya kisomi
Yeye angefanya hivyo kwenye Biashara ya jamaa basi kungekuwa hakuna Mategemeo ya hiyo mwanamke kulipa Hilo deni, kulipa Hilo deni ingekua majukumu ya mwanaume mwenyeweYeye angefanya hivyo kwenye biashara yako ungefurahia?