Aneel munawar
JF-Expert Member
- Aug 1, 2017
- 4,861
- 8,525
WANAWAKE wangekua wanaenda hivi,hakuna mwanaume atakua nunda Wala kuweka defence mechanismSio wote mkuu, kama hukubahatika kupata mke sahihi basi endelea tu kutafuta, mm nina mke ambae ni mwajiriwa...hata apate shilingi ngapi atakuja kukubwagia zote hapo, wewe pangia mipango yako Wala husikii akikuhoji..hata akitaka kutuma hela Kwa ndugu zake lazima akushirikishe wakati pesa ni zake..jambo hilo limefanya hata mm niwe transparent kwenye mambo ya pesa kiasi cha kutokuwa na hofu yoyote! na sasa pesa zake nimeamua kumuachi afanyie akitakacho huku nikiwa namlipa mshahara zaidi toka kwenye biashara za familia anazoshiriki kusimamia...pamoja na yote hayo bado utaona pesa nyingi anarudisha kwenye matumizi ya hapa na pale ya familia...LET'S NOT GENERALIZE COZ WAPO WANAOJITAMBUA.
Hakupata washauri? Single mum maranyingi wamatafuta economic relief kwa watoto waoUnasema ivo.?yupo jiran yetu hapa alikuwa maza house..mme kamfungulia biashara ..mwanzon wakawa wanapiga hesabu wote..ndan ya miez mitatu biashara ikasimama kidogo...mke katoa kwafuli zilizokuwepo kaweka mpya...mme akijq kukagua anafungua hazifungui..kuuliza akaambiwa kwan hili duka ni la share au ulinifungulia mimi?tangu hapo jamaa kaamua kudeal na mishe zake tu + kuendekeza ulevi...mbaya zaid mama mwenywe ni single mama jamaaa kamuokota huko tu
Wewe kwenye vikao huwa unasinzia?Leo nimeamini wanawake Ni viumbe tofauti sana na sisi.
Yaani nimemfungulia kabishara kadogo tu kakuingiza lak1 kwa mwezi ila sasa naona jeuri ishaongezeka.
Mfano nikiwa nimemuuzia bidhaa nikakapunguza hata buku (kwa wateja wangu wa zamani) Ugomvi uo maneno
Nikiazima hela yake kama nina emergence Yaan maneno ugomvi afu tuvitu twenyewe tudogo sana. Siyo kwamba simpi nampa kwasababu hela ninayo ila nikichelewesha tu.
Hapo hapo anasahau kua mtaji ni wangu,Wateja wote 90% ni wangu nimemuachia kifupi kalibia kila kitu ni changu.
NIMEJIFUNZA KAMA HUYU BIASHARA IKIKUA ANAWEZA ASINITAKE TENA AKATAKA AWE NA MAISHA YAKE
je mwanamke dawa yake usimuwezeshe kiuchumi au?? maana mi nilijifanya nina mindset ya kisomi
Ndo mnapo kosea wajinga wachache mnaojiita wasomi. Ulimuoa kwaajili ya kazi moja tu kumla mzigo mpaka azae. Nyie mnajifanya mnampa mtaji, bado haujasema.. na utasema.Leo nimeamini wanawake Ni viumbe tofauti sana na sisi.
Yaani nimemfungulia kabishara kadogo tu kakuingiza lak1 kwa mwezi ila sasa naona jeuri ishaongezeka.
Mfano nikiwa nimemuuzia bidhaa nikakapunguza hata buku (kwa wateja wangu wa zamani) Ugomvi uo maneno
Nikiazima hela yake kama nina emergence Yaan maneno ugomvi afu tuvitu twenyewe tudogo sana. Siyo kwamba simpi nampa kwasababu hela ninayo ila nikichelewesha tu.
Hapo hapo anasahau kua mtaji ni wangu,Wateja wote 90% ni wangu nimemuachia kifupi kalibia kila kitu ni changu.
NIMEJIFUNZA KAMA HUYU BIASHARA IKIKUA ANAWEZA ASINITAKE TENA AKATAKA AWE NA MAISHA YAKE
je mwanamke dawa yake usimuwezeshe kiuchumi au?? maana mi nilijifanya nina mindset ya kisomi
sasa ujinga wangu ni niniNdo mnapo kosea wajinga wachache mnaojiita wasomi. Ulimuoa kwaajili ya kazi moja tu kumla mzigo mpaka azae. Nyie mnajifanya mnampa mtaji, bado haujasema.. na utasema.
Biashara gan wakat kila kitu ni changu? kwaiyo mimi na hiyo biashara kipi cha muhimuWe Mshamba , Mkeo anasimamia Biashara we unaleta hisia.
sawaWewe kwenye vikao huwa unasinzia?
TULISHASEMA, MWANAMKE USIMFUNGULIE BIASHARA, ILA FUNGUA BIASHARA HALAFU MUWEKE YEYE AWE MSIMAMIZI MFANYIE AUDITING HAPO MTAENDA,.... LAKINI UKISEMA UMFUNGULIE BIASHARA HIYO IMEKULA KWAKO
😎Hakupata washauri? Single mum maranyingi wamatafuta economic relief kwa watoto wao
hapo nimeelewaNi bora iwe kwa ajili ya matumiz yake bila wewe kumwambia na usitegemee hela kwake.
Anzisha na biashara zingine
Wao wanakuwa hivi hela zake ni zake na kushare sio sana
Ila ww ndio unashare
Ila ukisema utegemee sana hela zake
Atakataa kabisa
kuna kitu umenifunza"Wanawake wa kiswahili ndo wapo hivyo " japo sio wote .
Social intelligence hawana
Soma hapa kwanza ndio uchukue maamuzi vizurije mwanamke dawa yake usimuwezeshe kiuchumi au?? maana mi nilijifanya nina mindset ya kisomi
Kwenye Kikao kijacho, make sure tuna onana mkuu 🤝Ilishawahi kunikuta hiyo, baishara ikawa tamu nikakodi mpaka stoo ya mizigo kwa ajili ya bidhaa. Baadae nikanasa kadi ya benki nisiyoitambua, baadae jeuri zikaanza.
Nikaamua kumweka kando, alikuwa akinitafuta kila mara na sikutaka tena usumbufu.
Nilichogundua wanawake wengi wanafosi kuwa watiifu kwa waume zao kwa kuwa tu hawana njia mbadala wa kiuchumi.
Mimi mwanamke na mthamini tu kwa kuwa ananilelea familia yangu ila sina expectations kubwa sana kwake, anytime akitaka kuleta shida the door is open, sitaki ndoa ya maigizo mimi.
Tuna same idea
Simple fact:
Ukishamwezesha mwanamke mkawa sawa guess what's next?
She will look out for a man above her and you
Na dharau na disrespect huanzia hapo
Keep this on mind women are always opportunists
Hakikisha mke wako unamwajiri kwenye miradi yako asiwe business partner hakikisha asiwe na ile kauli ya kusema huu mradi au biashara yetu
Kwanini ulimpa, je akiiua si utaanza kulalamika tena hawezi usimamizi.Biashara gan wakat kila kitu ni changu? kwaiyo mimi na hiyo biashara kipi cha muhimu
Jamaa amefungua biashara alafu analeta tamaaYani umempa mtu afanye kazi halafu unaanza kudokoa pumbavu
Biashara unasema Ina faida ya 100,000 Kwa mwezi maana yake ni 3,300 Kwa siku halafu wewe unaenda kuzoa mikopo. Acha ujinga.
Mke wako sio ndugu yako. Pesa ya mwanamke ni ya kwake. Na pesa yako ni ya kwenu nyote. Ili mradi umezaa nae hawezi kulaza watoto wake njaa akiwa na pesa. Wewe jitafute kimpango wako.
MsalaUnasema ivo.?yupo jiran yetu hapa alikuwa maza house..mme kamfungulia biashara ..mwanzon wakawa wanapiga hesabu wote..ndan ya miez mitatu biashara ikasimama kidogo...mke katoa kwafuli zilizokuwepo kaweka mpya...mme akijq kukagua anafungua hazifungui..kuuliza akaambiwa kwan hili duka ni la share au ulinifungulia mimi?tangu hapo jamaa kaamua kudeal na mishe zake tu + kuendekeza ulevi...mbaya zaid mama mwenywe ni single mama jamaaa kamuokota huko tu
Ingekuwa Ww ungemfanyajeUnasema ivo.?yupo jiran yetu hapa alikuwa maza house..mme kamfungulia biashara ..mwanzon wakawa wanapiga hesabu wote..ndan ya miez mitatu biashara ikasimama kidogo...mke katoa kwafuli zilizokuwepo kaweka mpya...mme akijq kukagua anafungua hazifungui..kuuliza akaambiwa kwan hili duka ni la share au ulinifungulia mimi?tangu hapo jamaa kaamua kudeal na mishe zake tu + kuendekeza ulevi...mbaya zaid mama mwenywe ni single mama jamaaa kamuokota huko tu
HahaUNAFANYA WATU WOTE NI WAJINGA SANA WENGNE NI WAEREFU NA WAKO MAKINI SANA ACHA KWENDA KWENYE MITANDAO YA NIGEREIA NA KUTOA HUKO MADA NA KUZILETA HUKU LETA MADA ZAKO MWENYEWE STORI HII UMEITOA HUKU.
....
I Sponsored My Girlfriend’s Business, Now She's Getting Disrespectful - Romance - Nairaland