Nimemiss kupendwa....

I can feel you mdada.. Ila ndio tupo Tz na Tz ndo tulivyo. Kupitia huu uzi ndio nimejua kwa nini waume wapo busy na chepo na wake wanakuja kasi katika viben ten .
Afu tunamtafuta mchawi hahahaa
 
umeongea mambo mazito sana honey, haya nitayafanyia kazi kumwa update mdogo ako, leo hata amini kwa mahaba nitayomwonyesha japo ni ya mbali, nitaitumia simu yangu vyema kunye..ge..sh..a[emoji8]
 
Unataka mafunzo ya nini tena
 
Inategemea sana na huyo unayemwambia nakupenda. Unaweza kuandika nakupenda na siku yako ikazidi kuharibiwa...

Wakati mwingine ni heri mnapoagana asubuhi mkutane usiku ili tu kupunguza matatizo.
Ooh kumbe matatizo yanatofautiana sana ndio maana huwa siamini katika ushauri wa ndoa, naamini kile mmachoamini Mimi..
Make utakuta kinachojenga kwangu kwako wewe kinabomoa, kinachojenga kwako kwangu ni Bomu.
 
Inategemea sana na huyo unayemwambia nakupenda. Unaweza kuandika nakupenda na siku yako ikazidi kuharibiwa...

Wakati mwingine ni heri mnapoagana asubuhi mkutane usiku ili tu kupunguza matatizo.
mzee mwenzangu hiyo sio ndoa bali gereza...mnapoamka asubuhi mwingine anapelekwa kupasua kuni zipikie wafungwa na mwingine anapangiwa shambani
 
Ngoja shunie aje akufundishe
 
Ndoa ni kifungo kibaya sana..kila mtu ataubaini huu ukweli kwa wakati wake..
I Agree to disagree......Marriage is a Gift from God mzee inadepend uyo uliekutana nae yupo vip na yupo na ww kwa lengo gani lakini pia mlipenda wakt gan usikute mlipendana kwa MIZUKA tu#NDOA TAMU wewe asikwambie mtu.

Treat your partner(wife or husband) as your true friend utaenjoy sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…