Nimemiss kupendwa....

Nimemiss kupendwa....

U can make it there u are.
Subiri akiwa kazini mtumie text na umweleze ulivyomiss them old days. Mweleze vyote ulivyovimisi na kama muelewa basi ataelewa na kuturn back the years
 
Jitengenezee furaha yako wewe mwenyewe
 
SHIKA HAPO HAPO.....mwambie mhusika tuu....mwambie naomba nipendepende plzzz.....nahisi kukumisi.....si wako huyo....usimfiche......mwambie natamani ukanika....e beach kama wakati uleee....naomba tuuu...yaani natamani tuuu....usimpe nafasi ya kujitetea.....yaani unajua zite adventure zetu.......naomba tuuuu.....hakwepi hiii
 
Ushawahi kujisikia hisia za hivi?unakua kwenye relation ila muda mwingine unajihisi upweke unatamani ukakae mahali upigwe upepo, kuna muda unajisikia moyo umejaa mapenzi hadi yanamwagikia unatamani umuoneshe mtu ila ndio utaonekana mfilipino tu kama sio muhindi....hizi hisia zimekua zinajirudia sana kwangu, nahitaji kuwa updated teh sijui kuwa updated sijui kujiupdate aahh hivo hivo.

Nimemiss sana kupendwa, kuoneshwa mapenzi kwa vitendo, asubuhi style ya kuamshwa iwe kushikwa shikwa nashtuka ooh nakutana na vipi baby mambo, achana na hizi style ya sahivi nakurupuka natupa kule shuka baada ya kupigwa pigwa mgongoni mama nanii amka ukampe mtoto uji, namiss kupigiwa simu kusemeshwa vitu vizuri vizuri, kukutana na text nzuri "unafanya nini njoo nipo huku desh desh garden" ukiachana na sms za mama nanii andaa msosi nakuja sijala, mama nanii hivi uliangalia luku units zimebaki ngapi, nmemiss kupokea kiparcel ndani kuna viatu, gauni nk...nmemiss zile siku nikiwa off mood nawekwa kati ya miguu naulizwa nini mbaya mamaa jamani sahivi nini off mood hata hiyo mood ipige shoti buyuuu hahaha (baba niokoeeee), namiss kuwa huru I miss mambo mengi mnoo.

leo nimevurugwa hadi basi, mnifariji tu, alamsik.
This is an eye opener, thanks. Naenda kumfanyia wife. I hope Mr wako ataiona na kukufanyia hayo.
 
Nimeitwa nitoe ushauri, nimejikuta na miss na mimi.
Evelyn Salt... Daby
Hivi do men really understand that we miss the cuddling, the date nights, the spontaneous sex..... the out of the norm sex... the banging and the smacking typa sex.....😃😃😃😃😃

I miss being in love... so deep so silly in love. Na hasa kwa sisi tuliochelewa kuanza mahusiano kisa high standards na principles.... matokeo yake we got married to the only people we have dated.

Sasa unajikuta unajiuliza what ifs kibao.🤔🤔Audhubillah.😉😉
 
Back
Top Bottom