casanova69
JF-Expert Member
- Sep 14, 2015
- 2,361
- 2,166
😎😎Si inakuwa siri ya wawili,padri na muuminiEm confess kwanza hapa nipate nguvu ya kwenda kufungua pm🤓
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😎😎Si inakuwa siri ya wawili,padri na muuminiEm confess kwanza hapa nipate nguvu ya kwenda kufungua pm🤓
Usikute anataka Baba mwenye papuchi abuni mwenyewe
Inaonekana unapenda SANA kufanya matusiMi sikinai labda paume ndo nipapumzishe
Na mie mtu asiependa sex hatuendani teh (hivi Elli unaniuliza nini lakini teh)
😋😋😋Inaonekana unapenda SANA kufanya matusi
nimekesha kusubiri....Binamu nakutafuta baade mida ya popo
Hamna bana ni moods tu mbona hata hamna mvurugano, ubavu wangu wenyewe haunaga shida hata
Baada ya yeye kuteseka
This is an eye opener, thanks. Naenda kumfanyia wife. I hope Mr wako ataiona na kukufanyia hayo.Ushawahi kujisikia hisia za hivi?unakua kwenye relation ila muda mwingine unajihisi upweke unatamani ukakae mahali upigwe upepo, kuna muda unajisikia moyo umejaa mapenzi hadi yanamwagikia unatamani umuoneshe mtu ila ndio utaonekana mfilipino tu kama sio muhindi....hizi hisia zimekua zinajirudia sana kwangu, nahitaji kuwa updated teh sijui kuwa updated sijui kujiupdate aahh hivo hivo.
Nimemiss sana kupendwa, kuoneshwa mapenzi kwa vitendo, asubuhi style ya kuamshwa iwe kushikwa shikwa nashtuka ooh nakutana na vipi baby mambo, achana na hizi style ya sahivi nakurupuka natupa kule shuka baada ya kupigwa pigwa mgongoni mama nanii amka ukampe mtoto uji, namiss kupigiwa simu kusemeshwa vitu vizuri vizuri, kukutana na text nzuri "unafanya nini njoo nipo huku desh desh garden" ukiachana na sms za mama nanii andaa msosi nakuja sijala, mama nanii hivi uliangalia luku units zimebaki ngapi, nmemiss kupokea kiparcel ndani kuna viatu, gauni nk...nmemiss zile siku nikiwa off mood nawekwa kati ya miguu naulizwa nini mbaya mamaa jamani sahivi nini off mood hata hiyo mood ipige shoti buyuuu hahaha (baba niokoeeee), namiss kuwa huru I miss mambo mengi mnoo.
leo nimevurugwa hadi basi, mnifariji tu, alamsik.
Acha nicheki harakaaaa