Mkaruka
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 19,629
- 34,199
Gusa unatewazee wa Foreksiiii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gusa unatewazee wa Foreksiiii
Naona umeshaanza panda value kuwa haujibu PM. Kikubwa keep focused jifanye kama ilichoifanya ni kidogo Sana kwako na sio chochote ama ujiwekee nadhiri kuwa inatakiwa umjengee ghorofa ya billioni kumi you can go for it.Note:tafadhali sijibu pm.....
Wasalaam,
Habarini Wana jf,kwanza kabisa niseme nawashukuru wanajamii-forum wote kwa ujumla hasa hili jukwaa letu pendwa la biashara,uchumi na ujasiriamali, kwani tumekua tukipeana mbinu za kibiashara ambazo zinaweza kutusaidia kujikwamua kiuchumi kwa namna moja au
Hakuna mafanikio hapo. Subirini mpelekwe Foreksi au QNET ndio mtajua hamjui🤣Naona umeshaanza panda value kuwa haujibu pm. Kikubwa keep focused jifanye Kama ilichoifanya ni kidogo Sana kwako na sio chochote ama ujiwekee nadhiri kuwa inatakiwa umjengee ghorofa ya billioni kumi you can go for it
HongeraWasalaam,
Habarini Wana jf,kwanza kabisa niseme nawashukuru wanajamii-forum wote kwa ujumla hasa hili jukwaa letu pendwa la biashara,uchumi na ujasiriamali, kwani tumekua tukipeana mbinu za kibiashara ambazo zinaweza kutusaidia kujikwamua kiuchumi kwa namna moja au nyingine...mbarikiwe sanaaa[emoji119]
Ni miaka mitatu Sasa tangu nimalize kidato cha sita na kuingia mtaani kuanza kupambana rasmi na maisha(binafsi sikufanikiwa kuingia chuo). Katika
View attachment 1826439
Utakuwa muuza sembe au nyara /madini, hivi hupatikana pesa ya kujenga hiyo nyumba.Wasalaam,
Habarini Wana jf,kwanza kabisa niseme nawashukuru wanajamii-forum wote kwa ujumla hasa hili jukwaa letu pendwa la biashara,uchumi na
Mkuu acha blah blah na longo longo za ONTARIO hebu elezea vizuri umepata hela kwa njia gani mpaka kujengaWasalaam,
Habarini Wana jf,kwanza kabisa niseme nawashukuru wanajamii-forum wote kwa ujumla hasa hili jukwaa letu pendwa la biashara,uchumi na ujasiriamali, kwani tumekua tukipeana mbinu za kibiashara ambazo zinaweza kutusaidia kujikwamua kiuchumi kwa namna moja au nyingine...mbarikiwe sanaaa[emoji119]
Haya banaHakuna mafanikio hapo. Subirini mpelekwe Foreksi au QNET ndio mtajua hamjui🤣
Na mimi ngoja nikapige picha nyumba niliyomjengea mama.
Nakuja na ID mpya halafu sitaweka wazi issue ninazofanya wala sijibu PM 🤣