Nimemjengea mama yangu nyumba nikiwa bado nipo kwenye 20's

Nimemjengea mama yangu nyumba nikiwa bado nipo kwenye 20's

Wasalaam,

Habarini Wana jf,kwanza kabisa niseme nawashukuru wanajamii-forum wote kwa ujumla hasa hili jukwaa letu pendwa la biashara,uchumi na ujasiriamali, kwani tumekua tukipeana mbinu za kibiashara ambazo zinaweza kutusaidia kujikwamua kiuchumi kwa namna moja au nyingine...mbarikiwe sanaaa[emoji119]
Hongera sana!
 
Wasalaam,

Habarini Wana jf,kwanza kabisa niseme nawashukuru wanajamii-forum wote kwa ujumla hasa hili jukwaa letu pendwa la biashara,uchumi na ujasiriamali, kwani tumekua tukipeana mbinu za kibiashara ambazo zinaweza kutusaidia kujikwamua kiuchumi kwa namna moja au nyingine...mbarikiwe sanaaa[emoji119]



View attachment 1826439
Niliwahi kukutana na scenerio ya aina hii, ila yenye nyongeza kidogo. Kuna mtu aliwahi kufanya kitu kama hiki ulichofanya wewe. Baada ya hapo, miaka kadhaa mbele mwenzake naye akafanya hivyo hivyo naye akamjengea mama yake. Kwa hiyo nyumba zikawa mbili wakati huo mjomba wao yuko jirana anaishi kwenye Kibanda cha nyasi. Huyu wa kwanza wakati anajenga, hakuwa na uwezo wa kuwajengea wote, mjomba na mama.

Alifanikiwa kumjengea mama tu. Huyu wa pili wakati anamjengea mama, wala mama hakuwa anahitaji nyumba nyingine ya pili, na wakati mjenzi wa kwanza anajenga, huyu mjenzi wa pili hakuwa na uwezo wa kujenga, alikuja akapata uwzo huo miaka michache mbele. Badala ya kumjengea mjomba, naye pia akaamua kumjengea mama tena na kwa bahati mbaya mama naye hata hakuwa na ile kauli ya kusema "mjengee mjoba wako badala yangu".

Baadaye huyu wa kwanza akaja akagundua kuwa kumbe wa pili alijenga ili kumpiku mwenzake, wa kwanza na diyo maana hakuona haja ya kumjengea mjomba ambaye yeye alikuwa bado yuko kwenye hali mbaya.

Mungu atusaidie sana, mashindano watoto wamezaliwa tumbo moja halafu mnakua wote mkiwa mnajua kila mmoja ana akili timamu kumbe mojawapo ni chizi. Kuna uwezekano kuna watu ambao huwa tunaishi nao kwenye familia zetu wakiwa wamevaa maumbile ya binadamu, lakini kumbe roho zao ni za mapepo ya kuzimu, wakala wa shetani 100%. Unaishi nalo ukiwa ujua kuwa ni bindamu kumbe ni pepo la kutoka kuzimu
 
Na lazima ujue kua ili information ziwe na nguvu...lazima ziwe kwenye cycle ya watu wachache....mtoa mada endelea kuonyesha picha tu. ...if its matter of information don't ever disclose it
Kumbe eeh, basi sawa!
 
Hongera sana mkuu umefanya jambo jema, ila isikufanye uwadharau ambao hawajaweza, kila mtu ana path yake leo wew kesho yule
-Kweli kabisa mkuu,pole na hongera jibu lake ni "Asante",na nnachofaham ni kwamba maisha ni fumbo kwa hiyo hata nikipata zaidi nitazidi kustay "humble"....

- since time is relative,aliyefanikiwa katika 20's na ambaye amefanikiwa ktk 60's wote ni sawa sabab ukiwa bado upo hai yapo matumaini ya kufanikiwa....[emoji1666]
 
-Kweli kabisa mkuu,pole na hongera jibu lake ni "Asante",na nnachofaham ni kwamba maisha ni fumbo kwa hiyo hata nikipata zaidi nitazidi kustay "humble"....

- since time is relative,aliyefanikiwa katika 20's na ambaye amefanikiwa ktk 60's wote ni sawa sabab ukiwa bado upo hai yapo matumaini ya kufanikiwa....[emoji1666]
ume fanya jambo jema kutupa hamasa vijana wenzako hapa jukwaani lakini wengi tume kua tukiuliza ni shughuli gani ume kua ukiifanya ika kupatia mafanikio tuhamasike umeshindwa kukata kiu ya wengi
lakini kupitia uzi wako huu wa kwanza ina onesha kijana ulikua una jishughulisha na bustani za mboga mboga, kubashiri(kubeti) na mambo ya fedha za kigeni yaani Forex sasa ni heri unge liweka wazi hili wala maswali yasinge kua mengi ni hayo tu mkuu


 
Nikiangalia hii nyumba naona imeanza kutumika muda kidogo.......bila shaka uliijenga ukiwa unasoma. Hongera sana chifu!!!
 
-kilimo na ufugaji(ufugaji wa kuku wa kisasa)
-financial markets.
Financial markets ndio nini ? Mbona unatufanya wajinga wewe dogo, umepiga picha nyumba ya Shemeji yako unakuja kujimwambafai nyumba yenyewe unapiga kwa kuiba unapiga dirisha unatuona mbwiga.

Hao kuku ulianza nao wangapi na mpaka sasa una wangapi? Unawafugia wapi? Nipe mahitaji yao ikiwemo chanjo na aina ya chakula unachowapa. Wanakomaa baada ya muda gani? Unawauza wapi na kwa bei gani? Unauza wapi?

Kilimo, unalima nini? Wapi? Kwa ukubwa wa shamba upi? Mtaji upije? Unatumia mbegu gani?¡

Halafu nielezee hiyo kitu umesema inaitwa financial markets ndio biashara gani aisee? Ni kitu gani financial Market???

Dogo acha balehe ukinijibu hayo maswali kama kweli unalima na kufiga nitajua tu maana unatufanya wengine wajinga humu. Financial markets mkubwa wewe😃
 
Back
Top Bottom