Nimemjengea mama yangu nyumba nikiwa bado nipo kwenye 20's

Nimemjengea mama yangu nyumba nikiwa bado nipo kwenye 20's

Financial markets ndio nini ? Mbona unatufanya wajinga wewe dogo, umepiga picha nyumba ya Shemeji yako unakuja kujimwambafai nyumba yenyewe unapiga kwa kuiba unapiga dirisha unatuona mbwiga.

Hao kuku ulianza nao wangapi na mpaka sasa una wangapi? Unawafugia wapi? Nipe mahitaji yao ikiwemo chanjo na aina ya chakula unachowapa. Wanakomaa baada ya muda gani? Unawauza wapi na kwa bei gani? Unauza wapi?

Kilimo, unalima nini? Wapi? Kwa ukubwa wa shamba upi? Mtaji upije? Unatumia mbegu gani?¡

Halafu nielezee hiyo kitu umesema inaitwa financial markets ndio biashara gani aisee? Ni kitu gani financial Market???

Dogo acha balehe ukinijibu hayo maswali kama kweli unalima na kufiga nitajua tu maana unatufanya wengine wajinga humu. Financial markets mkubwa wewe[emoji2]
Acha kubishana na huyu dogo!! Hii nyumba ukiiangalia vizuri ina zaidi ya miaka mitano kipindi yeye yuko form two!! Anzia kwenye miti, tiles na hiyo mita ya Tanesco
 
Kuna uzi wake wa mwanzo wa May 2 kaeleza kila kitu!!! Ni TP kama Ontario [emoji38][emoji1787][emoji23][emoji81][emoji38][emoji1787][emoji23][emoji81][emoji38][emoji1787][emoji23][emoji81][emoji38][emoji1787][emoji23][emoji81][emoji38][emoji1787][emoji23][emoji81][emoji38][emoji1787][emoji23][emoji81][emoji38][emoji1787][emoji23][emoji81][emoji38]
 
Kuna uzi wake wa mwanzo wa May 2 kaeleza kila kitu!!! Ni TP kama Ontario [emoji38][emoji1787][emoji23][emoji81][emoji38][emoji1787][emoji23][emoji81][emoji38][emoji1787][emoji23][emoji81][emoji38][emoji1787][emoji23][emoji81][emoji38][emoji1787][emoji23][emoji81][emoji38][emoji1787][emoji23][emoji81][emoji38][emoji1787][emoji23][emoji81][emoji38]
Siku hizi wanajulikana hawa[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wasalaam. Habarini Wana JF,

Kwanza kabisa niseme nawashukuru wanajamii-forum wote kwa ujumla hasa hili jukwaa letu pendwa la biashara, uchumi na ujasiriamali, kwani tumekua tukipeana mbinu za kibiashara ambazo zinaweza kutusaidia kujikwamua kiuchumi kwa namna moja au nyingine. Mbarikiwe sanaaa[emoji119]

Ni miaka mitatu Sasa tangu nimalize kidato cha sita na kuingia mtaani kuanza kupambana rasmi na maisha(binafsi sikufanikiwa kuingia chuo). Katika kipindi hiki Cha miaka mitatu(3) nimejifunza mamb mengi kama kijana, itoshe kusema katika kipindi hicho chote nimejifunza kupambana till my last drop to achieve my wildest dream, pili kuwa mkweli kwa nafsi yangu

Katika vitu vinavyonipa faraja ni kumjengea mama yangu nyumba nikiwa bado nipo kwenye 20's[emoji847],hii kitu imenipa faraja sana sana, ingawa bado sijafika Ila nimeanza kuuona mwangaza kwa mbaaaali

LENGO /DHUMUNI LA HII THREAD:
Lengo la huu Uzi ni kukujulisha kijana mwenzangu kuwa sasa ivi tunaishi katika "information age"(golden era) hatuhitaji tena pesa kutengeneza pesa bali taarifa sahihi na uthubutu kutengeneza ukwasi wa kutisha, hivyo basi jitahidi sana, sana, sana kuwa na taarifa sahihi. Itakusaidia.

#never lose focus# Ttoday is Tuesday choose it wisely

View attachment 1826441

View attachment 1826439
Hongera lakini ingekua vyema zaidi kama ungeelezea namna ambavyo ulijishughulisha (kazi) hadi ukafaninikiwa kwenye hiyo ndoto yako..
 
-Kweli kabisa mkuu,pole na hongera jibu lake ni "Asante",na nnachofaham ni kwamba maisha ni fumbo kwa hiyo hata nikipata zaidi nitazidi kustay "humble"....

- since time is relative,aliyefanikiwa katika 20's na ambaye amefanikiwa ktk 60's wote ni sawa sabab ukiwa bado upo hai yapo matumaini ya kufanikiwa....[emoji1666]
Mbona unajibu za hongera pekee?.
 
ume fanya jambo jema kutupa hamasa vijana wenzako hapa jukwaani lakini wengi tume kua tukiuliza ni shughuli gani ume kua ukiifanya ika kupatia mafanikio tuhamasike umeshindwa kukata kiu ya wengi
lakini kupitia uzi wako huu wa kwanza ina onesha kijana ulikua una jishughulisha na bustani za mboga mboga, kubashiri(kubeti) na mambo ya fedha za kigeni yaani Forex sasa ni heri unge liweka wazi hili wala maswali yasinge kua mengi ni hayo tu mkuu


Oooh...! Kumbe Forex?
 
Back
Top Bottom