Nimemjengea mama yangu nyumba nikiwa bado nipo kwenye 20's

Nimemjengea mama yangu nyumba nikiwa bado nipo kwenye 20's

NDORANGA

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2021
Posts
216
Reaction score
376
Wasalaam. Habarini Wana JF,

Kwanza kabisa niseme nawashukuru wanajamii-forum wote kwa ujumla hasa hili jukwaa letu pendwa la biashara, uchumi na ujasiriamali, kwani tumekua tukipeana mbinu za kibiashara ambazo zinaweza kutusaidia kujikwamua kiuchumi kwa namna moja au nyingine. Mbarikiwe sanaaa[emoji119]

Ni miaka mitatu Sasa tangu nimalize kidato cha sita na kuingia mtaani kuanza kupambana rasmi na maisha(binafsi sikufanikiwa kuingia chuo). Katika kipindi hiki Cha miaka mitatu(3) nimejifunza mamb mengi kama kijana, itoshe kusema katika kipindi hicho chote nimejifunza kupambana till my last drop to achieve my wildest dream, pili kuwa mkweli kwa nafsi yangu

Katika vitu vinavyonipa faraja ni kumjengea mama yangu nyumba nikiwa bado nipo kwenye 20's[emoji847],hii kitu imenipa faraja sana sana, ingawa bado sijafika Ila nimeanza kuuona mwangaza kwa mbaaaali

LENGO /DHUMUNI LA HII THREAD:
Lengo la huu Uzi ni kukujulisha kijana mwenzangu kuwa sasa ivi tunaishi katika "information age"(golden era) hatuhitaji tena pesa kutengeneza pesa bali taarifa sahihi na uthubutu kutengeneza ukwasi wa kutisha, hivyo basi jitahidi sana, sana, sana kuwa na taarifa sahihi. Itakusaidia.

#never lose focus# Ttoday is Tuesday choose it wisely

IMG_20210622_124510_253.jpg


IMG_20210622_124516_218.jpg
 
Hongera kwakuwa kwa hali halisi tuliyo nayo wengi ni ngumu maana hiyo nyumba kwa harakaharaka Ni ya thaman kuanzia 35M+ na vjana weng U30 hatuna mtaji wa biashara hata wa 10M kwahiyo inakuwa ni ngumu sana kuwajengea wazazi mapema
 
Back
Top Bottom