Nimemkataza mke wangu kwenda kwenye Marathon

Mke akikuzalia tu watoto wa kutosha siyo wakubambikiwa unamfunga uzazi na kumruhusu tu awe huru kwenda huko kwenye marathon.
 
Umeshtuka mkuu
 
Pole sana.... Kumbe alikuwa mshiriki mzuri....Tayareeeee wameshakula .....
 
Marathon 😀😀😀

Kuna jamaa yangu anazunguka marathon zote Tz kwasababu ya kabinti ka kiarabu,kanapata nafasi kwenye marathon tu, tofauti na hapo no way...... Marathon zina mengi sana
Atakuwa tu haka kabinti.

Your browser is not able to display this video.
 
Mkeo akikuomba kwenda nje ya mkoa kukimbia maradhon tatizo liko kwako.kakutama kaona unaweza kutoa ruhusa
 
Ha ha ha umenifurahisha,kuna mwenzako huko kampiga biti mkewe asiende huko ila yeye anazunguka marathone zote utetezi wake yeye ni wa mwanaume anatafuta connection
Kama uko vizuri kiuchumi,marathon zote ni muhimu kuhudhuria,zina raha zake yaani kuna wanawake wana mizigo na mbunye zilizotuna dah!
Mnabaki nyumanyuma unajifanya kumpa kampani ya kukimbia,baada ya hapo mnabadilishana kontakti,unamuota loji ulifikia unamzagamua.Mume akipiga usiku simu inaita tu,kisingizio NILICHOKA SANA na mazoezi,kwahiyo nililala.
 
Dah
 
Bora umesanuka Mkuu
Siyo Marathon tuu, hata Trip za kusafiri Mikoani kikazi nazo ni Balaa. Kiukweli mwanamke Dah!!!
 
Marathon zimekuwa maarufu siku hizi. Lakini wananzengo wanaangalia upande hasi. Kuwa ni eneo la kufanya ufuska.

Ukweli ni kuwa kama mtu ni mzinzi ataufanya popote na huwezi mzuia labda alipo uwepo.

Kwa hiyo kama mwenzi wako anataka kushiriki Marathon. Njia nzuri ni kufanya mazoezi na kwenda naye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…