Nimemkataza mke wangu kwenda kwenye Marathon

Ewa mwanamke anaongozwa hataki hasirudi nyumbani aende huko nje.
Mwanamke anaenda marathon watu wanaishora mbushsu ya mkeo na mitako yake sio poa kabisa.
 
Kwa hiyo kabla ya hapo alishawahi kwenda?
 
"Marathon zimegeuzwa kichaka cha umalaya...."

Nina rafiki wa kike niliwahi kumzuia I thank God alielewa. Kumejaa upuuzi sana
 
Mwanaume lazima uwe mwanaume nyumbani.
Huu ufuska wa kijinga nilikua sijausikia eti mwanamke anatimka kwenda miji mwingine kwa sababu ya marathon. Anaachia familia.
Ikiwa anataka marathon angoje ije hapa tulipo namfikisha inapoanzia na kuchukua inapoishia.
Na avae kiheshima
 
Alishabahatika kukapiga hata mara moko au Anapigaga mara kwa mara sasa hako kabinti
Ka-kiajemi au anaishia kukasindikiza kwa macho wakiwa kwenye mchakamchaka? 🤔
Nafasi pekee ya kuwa nako ni kwenye marathon,si unajua wanaenda siku moja kabla,wanakuwa pamoja na baada ya mbio then the next day wanarudi pamoja wakifika dsm mpaka marathon nyingine 😀
 


Chukueni hatua wanaume wanao ruhusu wake zenu kwenda kuliwa
 
Kweli kabisa kaka hizi marathon hua wanaenda wamevaa skin aisee kila kitu wazi pichu zinaonekana hivyo baada ya marathon ni party nfo hapo wanapoanza kufinywa tena huku anakutukana mumewe kua humfinyi vizuri zaidi ya jamaa anayemfinya muda huo
 
Avae kiheshima sasa atakimbiaje aisee? Yaani avae li buibui halafu aweze kukimbia? Thubutuuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…