Nimemkataza mke wangu kwenda kwenye Marathon

Kwanzq mkeo akiomba ruhusa tu kwenda marathon jua hakuna kitu hapo!!Labda iwe ni event ya office yao at least.

Jua kabisa unatafuniwa mali hata ukimkataza!!! Wanaenda wakiwa tayari wameandaana mapema.
 
Wake za watu na mishangazi inaliwa mno kwanza vichupi na vipedo wqnavyovaa ni shida sana
 
Huwa tunawala kabla ya marathon halafu tunatoka kupiga picha wala hatukimbii tunarudi tena
 
Kama wakati unamuoa alikuwa Mwanariadha kama wale wadada wa Kenya na Ethiopia usimkataze. Lakini kama wakati unamkita alikuwa mdada wa chipsy mayai na kula Ndaga usimruhusu abadhan.
 
pole sana kwa kuoa mke pongo...... kwahyo alishakwenda baada ya kujua yanayofanyika ndipo umemkataza..... ww nae pongo tu......
 
Answari ndio wanajua kuwalinda wake zao
Sokoni anaenda mwenyewe
Akitoka anatoka nae
Anazalishwa mwanzo mwisho
Mwanamke anawekewa mipaka na akikiuka ni kumtoa nduki hakuna mjadala.
Nyie nyumbu wa haki za wanawake mnatoa machozi kila siku.
 
Haisaidii Kaka, alikuwa tu anaongoza WiGo wa kukutana na ma Bwana, ataenda kwingine usikokujua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…