Nimemkumbuka mke wangu baada ya kuachana

Nakuelewa mwamba mwanamke akijua amekudatisha pale Kati wanatunyanyasa saana... Ila namshukuru maumivu yanaanza kupotea
 
Mkristu mZee
Ila utamsahau tu, Mimi mwenyewe pendapenda Sana,
Kuna mwanamke huko MBEYA nilimpendaga mnoo, Sasa bwana mi nna wivu Sana sana, nikatumia akili ya kiume nikaijua password ya simu yake ,

Sasa nikawa mida ya saa nane usiku namvizia amelala fofofo nafungua simu yake naanza kuikagua,ikawa ndio tabia yangu,

Mara ya mwisho Sasa nikaifungua simu yake, nakuta Kuna muhuni alikuwa anachatinae whatspp, muhuni akamuambia baby ukitoka kuoga naomba nikupigie Video call 😎 kabla ujavaa nguo,aisee yule mwanamke bwana kweli alivyotoka kuoga akafanya ivyo, nikakuta mengi, Mara bwana gafla yule mwanamke akashtuka usingizini, tukaanza kung'ang'aniana Simu Sasa,ye anaitaka,Mimi naizuia, ikawa Kama picha la kihindi, hapo tupo uchi Mimi pumbu zinaning'inia, yeye pia alkadhalika ,
Basi end of the day niliipigiza chini simu yake ya ghalama ,ikawa haifai, baada ya hapo ikawa mwisho wa Mimi na yeye,

Sasa mkuu nikaanza kuumia roho, nilikonda kwa kumuwadha, sometimes ikawa nahisi kujiua, sometime nahisi kupiga makelele,
Niliisha mwili, kumbuka nimezaanae huyo mwanamke,
Ila aisee Kuna njia nilifanya nikamsahau kabisakabisa, Mungu ni mwema kwakweli,


Kwaiyo hata wewe utamsahau tu Huyo kiumbe
 
Nakushauri kaa na huyo mwanamke wako muyaonge kwa busara kabisa bila jaziba.kama alichepuka kwa bahati mbaya na kukiri kosa basi mrudiane.
Nakushauri hv sababu najua utaenda kupoteza kila kitu..kwanza utaenda kupata gharama kubwa sana za malezi ya watoto wako,pili utajikuta unaingia ktk mahusiano ambayo si sahihi kwako maana ni mara chache sana kupata mwanamke wa pili atakayewapa mapenzi stahili watoto wako..yaan kifupi itakucost nakushauri kakaa muyazungumze na muache kujifikiria nyie tuu muweke mawazo ya watoto wenu kwa karibu zaidi.
Ndio maana kuna malegend wanaishi vzr kama familia lkn chumbani kwao kila mtu analalia kitanda chake ingawa nje wanaonekana ni mke na mme.
 
Yeye hayuko serious
 
Njia ipi hiyo?
 
kwa dini yetu Kuna Aya za Qur'an unaandikiwa kwa zafarani kweny karatas, then unailoweka kweny maji unakunywa, hautomkumbuka kwa mazuri milele huyo mtu,

Yaan anafutika kabisa akilini mwako,haukumbuki ila lililobaya tu kwake
Ha ha ha haaaaaaa,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwahiyo ikawa tiba yako.imani kitu hatari sana
 
kwa dini yetu Kuna Aya za Qur'an unaandikiwa kwa zafarani kweny karatas, then unailoweka kweny maji unakunywa, hautomkumbuka kwa mazuri milele huyo mtu,

Yaan anafutika kabisa akilini mwako,haukumbuki ila lililobaya tu kwake

Ni Makosa kuihusisha Qur’an na USHIRIKINA mkuu hio ni Shirk
 
Inauma sana alafu kibaya utakuta kaolewa na jamaa mwingine siku upo misele unakuta wameongozana.
 
Ni ukweli usiopingika ndo huwa nasemaga unapo mfukuza mke jichunguze kama unamanisha ila kama ni hasira zinazungumza aise bora ujitenge kwa mda asila ikiisha maisha yaendelee
 
Kwanini usijishushe kuomba msamaha mkuu mkaendelea nae tu ..

Inaonekana umeingia uwanjani kucheza ligi kuu (ndoa)bila kucheza ndondo cup(kula ujana na kupitapita na wanawake kuwajua)...
Ajishusha mwanamke ataendelea kua na kiburi uamuz uliochukua mi binafs naona n mzuri
 
Uzi wako unaonyesha bado unampenda mkeo,mana bado umeendelea kuandika hili neno " mke wangu" pamoja na kua katika process za divorce.nakushauri mludie mkeo mlee watoto anzeni ukuransa mpya.gharama za kuachana utazilipia ww kama alivongea mchangiaji mmoja hapo juu
 
Mkuuu naona bado unampenda,Kama kweli umemfumania na wewe huwa humcheat mkeo... Basi achana naye.. Mana ukisema uishi naye IPO siku utamchinja.... Either muache hapo home na watoto wewe NENDA kapange room nadhani mbelen utaamua mwenyewe Kama uwe unatuma MAHITAJI ya watoto au urudi IENDELEEE kuishi naye
 
Jamaaaaa nahisi sio BAHARIA yaan hata mwenge began Hana aiseee... Hata ukifumaniwa live unasema sio wewe inagoma katakata
I
 
Pole sana muombe mungu sana sali funga utamsahau na kuyashinda wote
 
Ndoa ngumu kuna mtu alimfumania mkewe akaulizwa vipi unamwacha aende kwao au arudi kwako.Jamaa akainama kisha kwa machozi akasema naondoka nae. Miye nikabakia hoi.
 
Natamani iwe ivo baada ya kuona mwenzangu amejifunza kitu, ila kwako anaonesha alifanya hivo kunikomoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…