Nimemkumbuka mke wangu baada ya kuachana

Huu ni ukweli mchungu kwangu
Na ukimlazimisha mrudiane jiandae kwa maumivu makali zaidi ya hayo uyapatayo sasa. Kwanza shukuru Mungu wako upo salama, ujue mke mzinzi ni rahisi sana kukuambukiza magonjwa.

Rafiki yangu mmoja nimpe jina Robert alikuwa na mke mzuri tu kwa mtazamo wake, baada ya kuishi naye kwa miaka kadhaa wakapata mtoto wa kike maisha yakaendelea, walipopata mtoto wa pili Robert akaanza kuhisi mkewe anamsaliti kwa kutOmbw@ na baba mwenye nyumba walipokuwa wamepanga, akamdadusi mkewe kwa kina sana akakiri ni kweli.

Robert akaamua kutengana na mkewe kwa muda, miongoni mwa watu aliowaomba ushauri ni mimi, akaenda kucheck afya yake kakutwa yupo salama, baada ya miezi mitatu kacheck tena yupo vizuri.

Nilimshauri sana Robert asikunali kurudiana na mkewe hadi ahakikishe naye amecheck afya yake akakubali. Siku moja Robert akaniambia ameongea na mkewe wakutane wazungumze ikiwezekana wayasuluhishe yaishe nikamwambia ni jambo jema sana kutafuta suluhu ila asisahau afya ni ya muhimu.

Siku hiyo nilimtafuta sana kwa simu zake zote kutwa nzima sikumpata. Nikamtumia ujumbe mfupi wa sms uliosomeka hivi "rafiki yangu kama hujazingatia suala la afya omba Mungu akuokoe", jioni akanipigia akanieleza kuwa alikuwa na mkewe wameyajenga yameisha lakini hakuzungumza lolote kuhusu sms niliyomtumia hapo kabla. Kiukweli moyo wangu ulikosa amani sana juu yake na sikujua ni kwanini maana nilikuwa napata hisia mbaya sana.

Baada ya miezi kadhaa kupita Robert alitokwa na kijiupele kidogo dogo sehemu ya joint ya mkono wake wa kushoto, kikawa kinakua kadiri siku zilivgosonga anajikuna kinazidi kusambaa, alijaribu kutibu kwa kila njia ilishindikana. Siku moja tukaenda hospital fulani kumsalimia daktar ni rafiki yetu, doctor alipoona kile kidonda akamshauri Robert kucheck afya yake kabla hajachelewa na mambo kuwa mabaya zaidi.

Alikuwa ameshaambukizwa ukimwi, alilia sana na kujilaumu mno kwanini hakuweka msimamo siku ile alipokutana na mkewe maana tangu pale hakuwahi kukutana kingono na mwanamke mwingine yeyote. Tulifanya kazi ya ziada kumshauri maana alitamani ajimalize.

Mbeleni ilikuja kugundulika hata wale watoto sio wa kwake ni wa yule mzee mwenye nyumba wote wawili. Waliachana kila mmoja akashika njia yake. Robert alijilaumu sana kwasababu kukosa kwake msimamo kulimponza.
 
Kama hutojali kwa muda wako niombee Moyo wangu utulie ufanye maamuzi sahihi
 
Baba tuna kama mwezi na nusu iv
Mmmmmhhh mwezi na nusu kweli wana ndoa wanaachana! Bado mapema mno ni hasira tu izo zitapungua mtayajenga mlee watoto, na yeye kaondoka nyumbani kwa kuhofia unaweza kumdhuru tu Ila hana maana ya kuachana na wewe na aache watoto....kwa mwanamke ni ngumu kuachana na mumewe walozaa
 
Mbona unanichanganya bro?
 
Kama hutojali kwa muda wako niombee Moyo wangu utulie ufanye maamuzi sahihi
Kaka: kwasasa huhitaji maombi, unachohitaji ni kukubali kuwa haya mambo yapo na hutokea na sasa yametokea kwako.

Ruhusu akili ikubali kuwa imekutokea.
Badili mtazamo wako katika kuyatazama haya yaliyokutokea.

Unajua hata kifo anapofiwa jirani huwa hakikugusi sawa na ukifiwa, mara nyingi unajiona kama jambo la kawaida lakini ukifiwa huwa huamini kama utapona na kusahau.

Mkuu mrudishe shemu wetu mzuri, hebu kumbuka nyakati bora mlipokuwa pamoja.

Kumbuka upendo alokupa...kumbuka kila kitu kizuri kumhusu.
Chukua picha yake itazameeee.
Then ibusu na kusema " I miss you mylove"

Biblia inatuambia kupitia Paulo.
"Yatazameni yaliyomema machoni pa watu"

Hii inamaanisha kuwa mabaya yapo kwa watu mkuu lkn chagua mazuri.

Ukimuacha huyu mke huwezi kupata wa kumpenda, kila siku utakuwa unafanya ulinganifu.
Mrudie mrudie mpenzi wako wa thamani aliteleza tu lakini anakupenda mkuu.

Ungekuwa rafiki yangu nakuhakikishia kuwa wiki hii mngerudiana na muende honeymoon
 
Nahisi nahitaji tiba Sasa maana najilazimisha nashindwa na inaniadhiri Hadi kwenye shughuli zangu
Tiba ya uhakika ni kichwa chako. Unakaa unatafakariiiiiii mabaya yake yooote na mazuri yake, kisha unawatazama watoto wenu, halafu unachanganua lipi lina faida zaidi kati ya kuendelea kukaza huku unaumia au kusamehe na kusahau yaishe . Kumbuka hata wewe (huenda) ulishatOmba mke wa mtu sio! Je? ulisamehewa au hukusamehewa?

Ushauri utapewa lakini mwenye maamuzi sahihi na ya mwisho ni wewe. Mwanzoni utaona ni ngumu lakini mwishowe utazoea maisha yanaendelea. Na hapo ndio muda mwafaka unahakikisha kama ulikuwa humt0mbi kisawasawa hadi akaenda kukusemea kwa bibi bas unasimamia shoo kiasi kwamba anatamani atoke nduki chuppi na Dera mkononi.

Ujue mke / mwanamke namna tu unavyompa kipigo cha mbOrlo anakuheshimu sana! Yaani Kuna show unampa hadi akikutazama anasema kweli huyu mwanaume kanioa
 
Yani kosa afanye yeye alafu umuite utafute suluhisho kweli watu wanaushauri mbaya humu ndani.....

wewe kumuita au kuonesha kutaka kurudiana nae inamaanisha wewe ni dhaifu na yeye atajua kwake hupindui mkuu, labda yeye ndio afanye hizo process ila wewe usijaribu huo idhaifu......
 
Mbona unanichanganya bro?
Ninachokueleza hapa ni kwamba hakikisha mnapima afya zenu kabla hamjafanya tendo la ndoa (hamjat0mbana) kwasababu unajua kbs kwamba yupo na mwanaume mwingine , usiwe dhaifu ukaangamia kwanza halafu ujutie.

Mkiwa salama rudianeni muendelee na ndoa yenu ikiwa mtaafikiana
 
Hapa nakuunga mkono
 
Wewe binafsi umeachana na wangapi? Ndoa yako ina umri gani?
 
Kama ni kweli unaweza kumvumilia mumeo akichepuka bas wewe ni miongoni mwa wanawake wa kipekee sana hapa duniani na bila shaka mpo wachace mno witnessj
Mwanamke kumvumilia mwanaume anaye chepuka ni rahisi kwakua hakuna kitu kikubwa wanacho offer zaidi ya k..Ila Kwa mwanaume inaumiza ...coz kuanzia Hela , attention ..care ...n.k vyote hvyo anavitoa na Bado mwanamke analiwa nje ....mwanamke hana Cha kupoteza
 
Hapa nakuunga mkono
Wengi huwa tunasahau afya ni jambo la msingi sana, sio unarudiana na mtu kisha mnaingia kuanza kula ARV kizembe zembe hapana haikubaliki.

Akikutwa ana maambukizi , binafsi nitamtakia safari njema kwasababu ni uzembe wake
 
Nakubaliana na wewe ila lazima mwanaume uwe mwaminifu , sio me unachepuka tena hovyo hovyo tu halafu kwa ke iwe nongwa hapana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…